Sheria inasemaje endapo Mgombea wa nafasi ya Urais akijitoa katikati ya kampeni?

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Mfano: Benard Membe au Tundu Lissu akiwa mgombea wa chama B na katikati ya muda wa kampeni kwa mfano mwezi wa kumi tarehe za mwanzo akaamua kuunga juhudi. Je, sheria ya uchaguzi inatamka nini kwalo?

Naomba wenye uelewa wa hilo mtujuze tafadhali!
 
Karatasi za kura zikisha kuchapishwa haruhusiwi kujitoa. (uzoefu kwa madiwani miaka ya nyuma). Ila sina kifungu cha Sheria kinachokataza
 
Kwanini ajitoe? Binafsi nadhani siku ya uchaguzi itabidi isogezwe mbele huku chama husika kikifanya mchakato wa kupata mtu wa kuchukua nafasi hiyo. Najaribu tu kufikiri.
 
Back
Top Bottom