Sheria Inachukua Mkondo Gani Kama Mtu Anatangaza Anataka Kujiua au Atajiua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria Inachukua Mkondo Gani Kama Mtu Anatangaza Anataka Kujiua au Atajiua?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Ndallo, Aug 2, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mimi sio mwanasheria na pia naomba kujua sheria inachukua mkondo gani endapo mtu anawaita watu na mbele ya makamera jamii au ulimwengu wote wakamsikia akidai atajiua? hii ni mujibu wa sheria zetu hapa kwetu Tanzania! mfano mojawapo ni huu hapo jana TBC1 kutuonyesha live bila chenga bwana Abdalah Zombe kuuambia uma wa watanzania kua chama cha chadema kikichukua madaraka basi atajitoa kafara kwakujinyonga Je kama basi indendapo chama hiki cha demokrasia na maendeleo endapo kitapata ridhaa ya kuongoza nchi huyu bwana atachukuliwa hatua gani kwa mujibu wa sheria? Naomba kuwasilisha
   
 2. Aloysius

  Aloysius Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Suicide ni jinai, kutangaza ni attempt to suicide ambayo uhukumiwa maisha. Ni jinai!
   
 3. Aloysius

  Aloysius Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kunakitu kinaitwa inchoate offence. Makosa haya kwa Tanzania hayaadhibiwi.
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwa sasa hivi kujiua au kutishia kujiua ni kosa la jinai. Lakini endapo Chadema kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitabadilisha sheria chap chap ili huyu bwana ajinyonge bila kuvunja sheria za nchi. Baada ya huyu jamaa kujingonga, Chadema itarudisha sheria kama ilivyokuwa. LOL.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 3, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Suicide itakuaje jinai? Sioni mantiki yoyote hapo. Kama suicide ni jinai adhabu yake ni nini sasa?

  Na hata attempted suicide nayo haitakiwi kupewa adhabu ya maisha na haitakiwi kumuadhibu aliyetaka kujiua. Badala yake kinachotakiwa kufanyika ni kumsaidia huyo mtu kwa sababu ni wazi kabisa kuwa ana matatizo yanayohitaji msaada.
   
 6. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  kujiua ni kosa la jinai... kwasababu imeainishwa huna ruhusa ya kutoa uhai wa binadamu yeyote ... ikiwamo na uhai wako mwenyewe.. kwa hiyo ukijiua unakuwa umeidhulumu nafsi ya kiumbe hai.. ndio maaana wanaojaribu kujiua wakipona wanashtakiwa....
   
Loading...