Sheria imeweka sheria gani kuhusu mikesha walokole?

muhinisugi

Member
Apr 25, 2017
43
34
Haya makanisa ya kilokole yanatupa tabu sana hatupati usingizi kwa muziki wanaopiga kwenye makanisa yao usiku, wanafoka usiku kucha sijui maombi ya aina gani haya.

Sijui serikali imeweka sheria gani kuhusu hii mikesha inayotunyima usingizi tunaoishi karibu na haya makanisa, naomba msaada wadau maana nilishaanza kukoromeana na huyu mchungaji feki.
 
Ulipoandika humu nadhani wataka ushauri wetu kumbe hatuna uwezo juu ya hili jambo. Ushauri ni huu;
Hama mtaa. sio lazima ukae hapo au nenda kamwambie huyo mchungaji fake akupe namba za huyo Mungu wake aliyemwambia ampigie muziki usiku kucha ili umwulize kwa nini waumini wake wanakusumbua na kukukosesha usingizi.
Kwetu kuna kausemi; Usimwamshe mbwa aliye lala
 
Ulipoandika humu nadhani wataka ushauri wetu kumbe hatuna uwezo juu ya hili jambo. Ushauri ni huu;
Hama mtaa. sio lazima ukae hapo au nenda kamwambie huyo mchungaji fake akupe namba za huyo Mungu wake aliyemwambia ampigie muziki usiku kucha ili umwulize kwa nini waumini wake wanakusumbua na kukukosesha usingizi.
Kwetu kuna kausemi; Usimwamshe mbwa aliye lala. Jiulize, ni kwa nini mtaa mzima hawasemi ila wewe tu??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom