Sheria iliyoanzisha BASATA malengo na majukumu yake

Gideerast

Member
Jun 27, 2015
56
3
Naomba wadau kwa anaye jua sheria iliyo anzisha BASATA ,ufafanuzi,majukumu na wajibu wake katika Sana'a nchini.Hususani katika Sana'a ya Muziki,Muziki wa Dansi, Bendi,Ngoma za A.

sili, Mavazi,Urembo na Mitindo,Uchongaji,Ususi.Lakini pia katika Ubunifu wa kazi za Sanaa na utamaduni na Vazi la Taifa.

Naona kama kila kitu kimekufa Muziki wa dansi umekuwa ni wa Kongo,Ngoma na vikundi vya Ngoma kama KIBISA na MUUNGANO CULTURAL GROUP vimekufa,wadhamini wamekuwa mapromota .
 
Back
Top Bottom