Sheria hii kiboko: pakiti za sigara kuonyesha picha za wagonjwa wa kansa tu. No kampuni Nembo!

duu ikija hii bongo kule kwetu lowa na maeneo ya tabora sijui kilmo cha tumbuku kitakufa au kitakuwa dili kama bangi..
 
Hili sio wazo zuri kwa nchi kama Tanzania ambayo uchumi wake unategemea barabara ya Pugu.
 
Sheria hii inawekwa na nchi zinazoelewa nn maana ya kulinda raia wake. Haijalishi unapoteza mapato kiasi gani. Gharama za kuhudumia wagonjwa wa saratani ni kubwa kuliko hayo mapato. Halafu, sigara sio chanzo cha mapato pekee kwa nchi ya maziwa na asali kama Tanzania (madini; mbuga za wanyama; ardhi kubwa safi yenye rutuba; mito, maziwa, bahari; amani, n.k)
Bravo Australia
 
Hili sio wazo zuri kwa nchi kama Tanzania ambayo uchumi wake unategemea barabara ya Pugu.
unanikumbusha jamaa mwingine aliyesema kuwa sio vizuri kupiga vita UFISADI kwa maana karibia waajiri na bread winners wote TZ wanategemea rushwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom