Sheria gani inampa mamlaka Rais kubadilisha matumizi ya fedha za umma?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Hivi Ni kifungu gani kwenye Katiba kinachompa Rais, Mamlaka ya Kufanya reallocation ya Public fund, Huku Matumizi ya fedha za Umma huidhinishwa na Bunge.
 
Hivi Ni kifungu gani kwenye Katiba kinachompa Rais, Mamlaka ya Kufanya reallocation ya Public fund, Huku Matumizi ya fedha za Umma huidhinishwa na Bunge.

Ukisoma katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kwenye ibara ya140(1)(b) inasema

Bunge linaweza kutunga shera kwa ajili ya kuweka masharti kwa mambo yafuatayo

(b) Kumuwezesha Rais au waziri aliyeteuliwana Rais kwa ajili hiyo, kwa ajili ya kutumia fedha zilizotengwa mahsusi kwa ajili ya shughuli fulani,kulipia gharama za jambo la haraka na la dharura kama ilivyoelekezwa katika aya ya (a) ya ibara hii ndogo
 
Hivi Ni kifungu gani kwenye Katiba kinachompa Rais, Mamlaka ya Kufanya reallocation ya Public fund, Huku Matumizi ya fedha za Umma huidhinishwa na Bunge.
Kwani haya ni mageni,au miaka 6 iliyopita ulikuwa ughaibuni,au usingizini,tena wakati huu tunaahueni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom