Sherehe za uhuru mwaka huu ni mwisho

uduzungwa

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
552
541
Mkuu wa nchi Leo katika hotuba yake amesema mwaka huu ndio mwisho kufanyika katika jiji la dar es salaam.
Kwa minajili hii naiona dodoma mpya kwa kasi sana katika huu utawala wa ngosha the don.
Watanzania wa kawaida wana mategemeo Mkubwa sana juu ya mh JPM.

Mie nimpe pongezi juu ya hili. Mungu akulinde na uzidi kutimiza zile ndoto za watanzania wengi.

Hapa kazi tu.
Wapinzani mtajijuuuu.
 
Kweli we kiazi unalala njaa afu unaleta upuuzi nenda sasa lumumba ukanywe maji
 
Mi nilijuaga hizo sherehe zinafanyikia uwanja wa Uhuru kwa sababu pale ndipo tulipotangaziwa kwamba Tanganyika ni huru,na ndo maana uwanja ukaitwa wa Uhuru kumbe sio asante magu kwa kunielewesha
 
Mkuu wa nchi Leo katika hotuba yake amesema mwaka huu ndio mwisho kufanyika katika jiji la dar es salaam.
Kwa minajili hii naiona dodoma mpya kwa kasi sana katika huu utawala wa ngosha the don.
Watanzania wa kawaida wana mategemeo Mkubwa sana juu ya mh JPM.

Mie nimpe pongezi juu ya hili. Mungu akulinde na uzidi kutimiza zile ndoto za watanzania wengi.

Hapa kazi tu.
Wapinzani mtajijuuuu.
Hii mtajiju imekupunguzia maxx
 
Back
Top Bottom