Sherehe za Muungano ziliwahi kufanyika Zanzibar?

GUI

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,847
1,299
Ndugu wana bodi habari zajion!!!
Tukiwa tunaelekea kusherekea sikukuu ya muungano hapo kesho kutwa, ningeomba kujua!!! Hivi hizi sherehe zimewahi fanyikia Zanzibar?
 
Wanachangia kiasi gani kwenye mambo ya muungano? Hawa wabunge wa kutoka huko walioko mjengoni Dom,bajeti yao iko Tanganyika. Anayemlipa mpiga zumari......
 
Ndio zimewahi kufanyika zbar mara nyingi tu! Hata zama za JK iliwahi kufanyika Zbar tukaandika kuwa JK kaenda kulipa alipowekwa number 2 na Shein kwenye Mapinduzi!! April 26 akalipa!!
Ndugu wana bodi habari zajion!!!
Tukiwa tunaelekea kusherekea sikukuu ya muungano hapo kesho kutwa, ningeomba kujua!!! Hivi hizi sherehe zimewahi fanyikia Zanzibar?
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Wanachangia kiasi gani kwenye mambo ya muungano? Hawa wabunge wa kutoka huko walioko mjengoni Dom,bajeti yao iko Tanganyika. Anayemlipa mpiga zumari......
Sasa hapa umejibu swali langu mkuu?
 
Back
Top Bottom