Emmanuel R. Ntobi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 691
- 1,490
Wakuu,
January12, 2017 Rais Magufuli atanarajiwa kusherehekea sherehe za Mapiduzi Zanzibar akiwa Mkoani Shinyanga katika uwanja wa Kambarage.
Hii ni historia ya kipekee inaenda kuandikwa kwa Rais wa Jamuhuri wa Muungano Tanzania kutoonekana katika Sherehe za Uhuru wa Nchi ya Zanzibar.
Nini tafasiri ya Mhe. Rais kutokushiriki maazimisho ya Sherehe hizi kubwa Kitaifa?
Je! Ni mwendo wa kubana Matumizi ama yale yale kila Mmoja abebe msalaba wake mwenyewe?
Ntobi.