johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,447
Taarifa kutoka kwa waziri mkuu mh Majaliwa zimehabarisha kuwa sherehe za miaka 59 ya Uhuru zimeahirishwa.
Badala yake watu watafanya Huduma za kijamii kila mtu katika eneo lake na fedha zilizotengwa kwa sherehe hizo takribani Ths. 800 milioni zitatumika kununulia vifaa vya hospitali ya Uhuru.
Source: Eatv habari