Sherehe za Maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru mwaka huu yaahirishwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,466
141,167
Taarifa kutoka kwa waziri mkuu mh Majaliwa zimehabarisha kuwa sherehe za miaka 59 ya Uhuru zimeahirishwa.

Badala yake watu watafanya Huduma za kijamii kila mtu katika eneo lake na fedha zilizotengwa kwa sherehe hizo takribani Ths. 800 milioni zitatumika kununulia vifaa vya hospitali ya Uhuru.

Source: Eatv habari
 
Awamu hii ya 5, kuna upumbavu na upuuzi mwingi sana badala ya kuitumia siku ya uhuru kama siku ya kutoa hotuba ya hali ya Taifa/Nchi ya mwaka mzima, kuimarisha umoja, mshikamano, kutibu mipasuko, kuhimiza umoja, utaifa na uzalendo, kueleza falsafa za kuongoza wananchi kiuchumi, kujilinda kiusalama, vitisho vya ugaidi, kuweka wazi mipango ya kuvutia uwekezaji, wito kwa wafanyabiashara, bado Magufuli hajaonesha aina ya baba mlezi wa taifa, mfariji namba moja wa Taifa, Legacy yake itakuwa nini hasa? Hana hotuba za kitaifa za kila mwaka, nusu, robo na kila mwezi, trickle down effects ya mambo yake mengi haionekana, why hivi anaelewa maana ya uhuru? Dhima halisi ya tunatoka wapi, tupo wapi na tunaelekea wapi na tunafikaje? Tuache kusifia sana kwa hili Magufuli anakosea na hili halifurahishi, tunu ya sherehe ya uhuru isioendana na hotuba ya Rais kwa Taifa.

Tupinge hili siku ya uhuru si ya kushabikia kupuuzwa, tunajenga taifa gani namna hii anashauriwa na nani na kwanini tukae kimya au tushabikie maamuzi kama haya!!. Hana political, social, na economic ideologies ambazo anacement kwa raia, this regime is too arbitrary in everything. We don't see him building institutions, hakuna Rais ataacha ombwe kubwa kubwa la ajabu endapo kwa namna yoyote ashindwe kuendelea na majukumu ya kiuRais.

Ubahili na Ubabe si kwa kila jambo hasa hasa sherehe za Uhuru, kama kweli Rais huyu ni Raia wa kweli wa Taifa kwa vizazi vyake vyote basi tujitafakari sana sana sana. Tukikubali hili mjiandae wakati akiondoka madarakani hili Taifa litakuwa ni Volcano ya Nyiragongo. Tupaze sauti Uhuru day ni muhimu kwa Umoja, Uzalendo, Mshikamano, Uhuru, Haki, reminding the international community of our presence as good partners, inviting the Foreign Direct Investments, clearly stipulating our international policies/Foreign policies, Nourishing our image to the international community, clarification of some bad things and denial of lies spread by our traitors at international platforms. Let's us stand together for things that matters to all of us nationally and inclusively. Mbinguni ni makao ya kweli iliyo kweli katika kweli.
 
Kaka apa umesema kweli sana, sema nini kinachosikitisha ni wangapi wanaona kama wewe..?, wanaoweza kufanya analysis ya mambo ni wachache sana Tanzania, na hata hawa waliofanya maamuzi haya ni "walevi"...wanaowaza fedha na kukandamiza
 
Wanatamani kusema awamu hii hakuna baraza la mawaziri" miradi imekaba kweli kweli,,sisi ni dona kantriii tembeeni kifua mbele si munaona na ndege twananunua cash,,"mitano tena,,yiiiiiiiiiiiii
 
Awamu hii ya 5, kuna upumbavu na upuuzi mwingi sana badala ya kuitumia siku ya uhuru kama siku ya kutoa hotuba ya hali ya Taifa/Nchi ya mwaka mzima, kuimarisha umoja, mshikamano, kutibu mipasuko, kuhimiza umoja, utaifa na uzalendo, kueleza falsafa za kuongoza wananchi kiuchumi, kujilinda kiusalama, vitisho vya ugaidi, kuweka wazi mipango ya kuvutia uwekezaji, wito kwa wafanyabiashara, bado Magufuli hajaonesha aina ya baba mlezi wa taifa, mfariji namba moja wa Taifa, Legacy yake itakuwa nini hasa? Hana hotuba za kitaifa za kila mwaka, nusu, robo na kila mwezi, trickle down effects ya mambo yake mengi haionekana, why hivi anaelewa maana ya uhuru? Dhima halisi ya tunatoka wapi, tupo wapi na tunaelekea wapi na tunafikaje? Tuache kusifia sana kwa hili Magufuli anakosea na hili halifurahishi, tunu ya sherehe ya uhuru isioendana na hotuba ya Rais kwa Taifa. Tupinge hili siku ya uhuru si ya kushabikia kupuuzwa, tunajenga taifa gani namna hii anashauriwa na nani na kwanini tukae kimya au tushabikie maamuzi kama haya!!. Hana political, social, na economic ideologies ambazo anacement kwa raia, this regime is too arbitrary in everything. We don't see him building institutions, hakuna Rais ataacha ombwe kubwa kubwa la ajabu endapo kwa namna yoyote ashindwe kuendelea na majukumu ya kiuRais. Ubahili na Ubabe si kwa kila jambo hasa hasa sherehe za Uhuru, kama kweli Rais huyu ni Raia wa kweli wa Taifa kwa vizazi vyake vyote basi tujitafakari sana sana sana. Tukikubali hili mjiandae wakati akiondoka madarakani hili Taifa litakuwa ni Volcano ya Nyiragongo. Tupaze sauti Uhuru day ni muhimu kwa Umoja, Uzalendo, Mshikamano, Uhuru, Haki, reminding the international community of our presence as good partners, inviting the Foreign Direct Investments, clearly stipulating our international policies/Foreign policies, Nourishing our image to the international community, clarification of some bad things and denial of lies spread by our traitors at international platforms. Let's us stand together for things that matters to all of us nationally and inclusively. Mbinguni ni makao ya kweli iliyo kweli katika kweli.
Kwanza punguza jazba na hasira, Kama ni hotuba Rais ashaitoa pale Bungeni na muelekeo wa Serikali anayoiongoza kwa Miaka mitano waliyopewa dhamana, lakini pia nchi haijengwi kwa hotuba na maneno isipokuwa vitendo vyetu sote, Chapa kazi Mkuu ujiletee maendeleo na tujenge Taifa Pamoja
 
Kwanza punguza jazba na hasira, Kama ni hotuba Rais ashaitoa pale Bungeni na muelekeo wa Serikali anayoiongoza kwa Miaka mitano waliyopewa dhamana, lakini pia nchi haijengwi kwa hotuba na maneno isipokuwa vitendo vyetu sote, Chapa kazi Mkuu ujiletee maendeleo na tujenge Taifa Pamoja
Nashukuru sana Mungu ni wetu sote ila kwa hakika anaboa sana kulihutubia bunge isn't necessary the only state of the nation, The statehouse and presidency is too dilute with this regime. Chezeeni vyote lakini sio siku ya Uhuru, anapiga teke moja ya vitu alivyotaja kwenye kiapo chake cha November 5 ,2020. Nabaki na msimamo kamwe siungi mkono usaliti na uhaini wa kuidharaurisha siku ya Uhuru kama afanyavyo Magufuli, this should stop and never to be repeated again. Mnajivunia nini Kama Taifa zaidi ya siku ya Uhuru?Ni upumbavu na uhaini kukiuka namna ya kuuenzi na kusherehekea Uhuru wetu. We can use uhuru day to truly define and translate the uhuru to wananchi esp. young generation ya 90's,2000' ikambaatana picha kubwa za waasisi Bibi titi, Sykes, Nyerere, kawawa, sokoine, Mkwawa, Abushiri, Makunganya, kinjeketile, etc vizazi vikaona na kusikia inspirational speeches zikatolewa, tukaweka na themes zingine zenye kuakis na manufaa ya uhuru. Mungu awape awamu ya 5 mnachostahili, you will never reinvent the wheel.
 
Nashukuru sana Mungu ni wetu sote ila kwa hakika anaboa sana kulihutubia bunge isn't necessary the only state of the nation, The statehouse and presidency is too dilute with this regime. Chezeeni vyote lakini sio siku ya Uhuru, anapiga teke moja ya vitu alivyotaja kwenye kiapo chake cha November 5 ,2020. Nabaki na msimamo kamwe siungi mkono usaliti na uhaini wa kuidharaurisha siku ya Uhuru kama afanyavyo Magufuli, this should stop and never to be repeated again. Mnajivunia nini Kama Taifa zaidi ya siku ya Uhuru?Ni upumbavu na uhaini kukiuka namna ya kuuenzi na kusherehekea Uhuru wetu. We can use uhuru day to truly define and translate the uhuru to wananchi esp. young generation ya 90's,2000' ikambaatana picha kubwa za waasisi Bibi titi, Sykes, Nyerere, kawawa, sokoine, Mkwawa, Abushiri, Makunganya, kinjeketile, etc vizazi nikaona inspirational speeches zikatolewa, tukaweka na themes zingine zenye kuakis na manufaa ya uhuru. Mungu awape awamu ya 5 mnachostahili, you will never reinvent the wheel.
Hela hamna sherehe itafanyikaje
 
Binafsi sioni umuhimu wa sherehe za kitaifa, ingekuwa n uwezo bc nngefuta sherehe zote na zingebaki za dini tuu
 
Hela hamna sherehe itafanyikaje
But at least he should prepare and deliver the Uhuru day sp speech to the nation na hili sio Ombi ni itifaki, Ikulu na Urais viheshimiwe. Usiombe cheo kama huna utii wa itifaki. Ni hatari sana kwamba Rais ni kama Mfalme. Hata Mfalme hufuata itifaki za kifalme.
 
Taarifa kutoka kwa waziri mkuu mh Majaliwa zimehabarisha kuwa sherehe za miaka 59 ya Uhuru zimeahirishwa.

Badala yake watu watafanya Huduma za kijamii kila mtu katika eneo lake na fedha zilizotengwa kwa sherehe hizo takribani sh 800 milioni zitatumika kununulia vifaa vya hospitali ya Uhuru.

Source Eatv habari!
Na pesa zilizopangwa kununua vifaa vya hospital zitatumika wapi?
 
Back
Top Bottom