Sherehe za Maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru mwaka huu yaahirishwa

Hivi ni kweli kuwa Serikali haioni umuhimu wa kufanya maadhimisho ya uhuru wa Tanganyika?Hiki wanachotamani kufanya kinawezekana na sherehe ikawepo.
Maadhimisho au sherehe za uhuru ni muhimu kuliko wanavyofikiri! Spirit of nationalism inahitajika kwenye taifa lolote ili kufikia mahali flani a nation who’s spirit remains dormant becomes hard to prosper !
Huwezi kumnyima mwali harusi ukimwambia kuwa amepata ndoa .
 
Back
Top Bottom