Sherehe za maadhimisho ya miaka 33 ya NRM UGANDA na magwalide ya majeshi!

Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
7,109
2,000
Habari za wakati huu wana JF.
.
Leo ni siku ya maadhimisho ya sherehe za chama tawala nchini Uganda kinachofahamika kama NRM kinachotimiza miaka 33 toka kuasisiwa kwake.
.
Maadhimisho haya yanafanyika wilaya ya TORORO cha kushangaza maadhimisho ya chama hiki yanaanikizwa au yanashereheswa na magwalide ya kijeshi kama sherehe ya kitaifa.
.
Hii inaashiria na kututhibitishia walimwengu utawala usiotenda haki wa Rais museveni kwa taifa lake, SIJAWAHI KUSHUHUDIA POPOTE ULIMWENGUNI MAADHIMISHO YA CHAMA CHA SIASA YAKIAMBATANA NA MAGWALIDE YA KIJESHI
.
THEME ya maadhimisho haya ni. A MOMENT OF GLORY THAT SET A NEW CHAPTER.
.
Mpaka Uganda wildlife military wamo duh!
 
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
7,273
2,000
Mleta mada tambua kuwa NRM ni chama kilichoundwa katika harakati za kimapinduzi na kilitumia njia za kijeshi kupitia mapigano ya mstuni ( guerrilla warfare), hivyo kuadhimisha maadhimisho hayo kijeshi siyo jambo la kushangaza maana waliokuwa member wa NRM ni/walikuwa wanajeshi wa Uganda akiwemo Y. K Mseveni,


Acha kushangaa braza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics


Threads
1,424,780

Messages
35,072,176

Members
538,098
Top Bottom