Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

dua imekukwaza sehemu gani?

"mungu tunusuru na siasa za kidini" au? .........

Hahahahaha! wewe bana. Haya mambo ya kidini hebu waachie wajuvi. Sisi tuzungumze mambo ya lugha yetu.
 
Twendeni tukale pilau kwa mkwere, na ngoma hadi next ze wiki hakutakua na kazi, lazima ngoma ichezeke kwanza
 
yaani kweli mambo ya dini bora niyaache .......maana nilitaka ku-comment kwa ule mzuzu wa rangi wa shekhe! :smile-big:

preta .......sema kinachokutatiza kuanzia namba tatu tafadhali
 
Haka kamvua kanakoshuka huku mbagala ilitakiwa ndo kashuke pale uwanja wa uhuru
 
Sijambo, usiogope ninawachemsha tu hawa watani wangu.
Eeh 'afadali' maana nilitishika. Sasa mbona hujanialika kwenye hii Dhifa ya kitaifa mimi hata habari sina mwenzio
 
yaani kweli mambo ya dini bora niyaache .......maana nilitaka ku-comment kwa ule mzuzu wa rangi wa shekhe! :smile-big:

preta .......sema kinachokutatiza kuanzia namba tatu tafadhali

ok nitaanza kiarabu kutoka kushoto kwenda kulia.....kwanza shekhe, pili wazee wawili, tatu tai nyekundu....vinanichanganya hivi ujue
 
Dua la mwakilishi wa kiisilamu limekaa kimafumbo sana.... "eeeh mola wetu tunakuomba uliepushe taifa hili na siasa za kidini...." sasa ni zamu ya jumuiya ya makanisa Tanzania... "Eeeh Mungu ntunakushukuru kwa kumuamsha mmoja kati yetu kuwa kiongozi wetu..."
Nahisi hicho kiapo cha kiisilamu amepewa na Makamba hehehe
 
bora hata mnaopoteza muda kuangalia namna haki zenu zinavyopolwa, nyie mnavyowaza sherehe zinaendaje mi nawaza kwanini sina sniper maana nigekuwa nayo nahisi ningefanya mapinduzi ya kweli tz, siogopi kufa wala kumwaga damu yangu kwa ajiri ya haki.alaniwe kikwete na familia yake yote kwa kutuongezea umaskini.amen
Chuki binafsi!
Jishughulishe upate mali sio kazi kukaanga sumu...
 
Is "He" the KING without an ARMY??? Ameshaita wakwere na wale wengine tukale pilau tujipongeze kwa ujinga wa wenzetu kutompigia kura mheshimiwa SLAA
 
Back
Top Bottom