Elections 2010 Sherehe za kuapishwa rais wa tanzania

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Nimeona wanaingia wageni wa kada mbalimbali, nimemwona Ridhiwani Kikwete. Loh! Nimemwona pia mama Salma Kikwete, mtangazaji anasema yupo na watoto wa rais, wapo kama 12.
 
Kuna shida gani hapo na wewe si uende !
 
Mi naomba leo asije akaanguka tu maana vijana wake wana tabia ya kummezesha hotuba (kumkaririsha) usiku mzima akiwa anaenda kwenye shughuli kubwa kama hizo ndo maana hua anakosa nguvu kwa sababu ya kukesha usiku akikariri hotuba.
KUDESA KUBAYA JAMANI!!!!
 
Dua la kuku.............................
 
Kuna shida gani hapo na wewe si uende !

Siwezi kwenda pale kwa kuwa hakushinda kihalali, Mshindi wa halali ni Dr. Slaa kwa 49% na Kikwete 27%.

Nitakubali kuwa atakuwa rais wangu kwakuwa Tanzania ni moja na inabidi tufunge mkanda kwa miaka mitano, maana najua hata chai nitakunywa kwa nadhra sana.
 
Kama umekubali yameisha kuwa ni Rais wako, tunajenga nyumba moja kwa nn tugombee fito ? jipangeni kwa 2015
 
Tuendelee kuwa wamoja kama tulivyokuwa Zamani, tusiendelee kuishi kwa mgawanyiko km kipindi cha uchaguzi, Tanzania inasifika kama kisima cha amani.
 
Back
Top Bottom