Sherehe ya siku arobaini baada ya kufariki kwa marehemu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sherehe ya siku arobaini baada ya kufariki kwa marehemu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BigMan, Nov 8, 2011.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  ndugu zangu jamvini ebu nisaidieni,katika jamii ya watanzania tumezoea baada y siku ya arobaini baada ya ndugu zetu kufariki ufanya kasherehe fulani kanokofahamika kama arobaini,lakini hivi sasa kumejitokeza mabadiliko waumini wa madhehebu ya walokole wamekataa kufanya hiyo arobaini kwa madai ni makatazo ya biblia,ebu nisaidieni kwa wataalamu mliobobea katika masuala haya nini malengo,faida na makatazo ya kufanya arobaini ?
   
Loading...