sionag mantiki ya kutoka mbagala hadi koko just kuja kuogelea au kupunga upepo....hasa kipind kama iko cha sikukuu..ni vurugu na makelele tu....by the way wajiongeze pia zipo fukwe za bure kibao tu ni ustaarabu wako.....mie hadi jumamos hii nimpeleke mwanangu na mamake Coloseum kwa raha zetu !!
nafkiri unajua sababu ni nini? pasaka huwa atuendi kusheherekea na majini ufukweni ......Idd ilichangamka kuliko pasaka
ngoja wafia dini wajenafkiri unajua sababu ni nini? pasaka huwa atuendi kusheherekea na majini ufukweni ......