Sherehe miaka 60 kanisa KKKT zatekwa na wanasiasa

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,391
2,000
Yaelekea Sherehe za miaka 60 ya kanisa la Kilutheri huko Marangu zimetekwa na wanasiasa. Kulikuwa kunatolewa ujumbe mzoto wa kiroho, historia yakanisa na amani. Nilikuwa nafuatilia redio Upendo FM kwa hamasa kubwa lakini Mkuu wa wilaya alipopewa kipaza sauti alijimegea muda mrefu kuhubiri siasa, huku akisema yake mengi kuliko ya Mkuu wa Mkoa ambaye alikuwa akimwakilisha.Anasahau kuwa ni wa kimataifa na wa kiroho na muda ni mali, badala yake anarudia yaliyosemwa na huhubiri siasa mpaka anaondoa ladha. Anadiriki kufundisha kanisa jinsi ya kuhubiri amani. Bored stiff. Pity thing.
 
Top Bottom