Elections 2010 Sheni is a ceremonial president

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,275
47,354
Ni rais ndani ya nchi yenye amiri jeshi mwingine,
Hana jeshi,
Hana nchi kwa maana ya ardhi, eneo la JMT ni pamoja na visiwa vya Zanzibar na Pemba,
Hana mamlaka kwa wananchi wake mamlaka yake ni ya kisiasa tu.

Anaongeza gharama za bure kwa watanzania.

Ni rais wa bendera.
 
Haya sasa matusi.. Karume alipokuwa rais wa Zanzibar hukuona Umuhimu wake? Labda Waulize Wazanzibar wenyewe kwani JK akienda huko huwa kama rais wa nchi ya nje amekwenda watembelea.
 
Haya sasa matusi.. Karume alipokuwa rais wa Zanzibar hukuona Umuhimu wake? Labda Waulize Wazanzibar wenyewe kwani JK akienda huko huwa kama rais wa nchi ya nje amekwenda watembelea.
Siyo Sheni tu Karume 1&2, Salimin na msululu wote ni kama wakuu wa mikoa tu YES I SAID IT
Hivi Pemba ikivamiwa atafanya nini.
 
umesahau mkuu

 • zanzibar ni nchi
 • zanzibar ina vikosi; kmkm, jku, mafunzo
 • ina katiba yake
 • ina jaji mkuu wake
 • ina mahakama kuu yake
 • ongezea...!
hiyo ya ceremonial figure sio warranted.
 
Ni rais ndani ya nchi yenye amiri jeshi mwingine,
Hana jeshi,
Hana nchi kwa maana ya ardhi, eneo la JMT ni pamoja na visiwa vya Zanzibar na Pemba,
Hana mamlaka kwa wananchi wake mamlaka yake ni ya kisiasa tu.

Anaongeza gharama za bure kwa watanzania.

Ni rais wa bendera.

Jamani mimi Civics nilipata C.

Endeleeni na jamvi lenu.

Eti Maalim Seif kaapishwa na shein badala ya Jaji? Kweli njaa haina adabu.
 
umesahau mkuu

 • zanzibar ni nchi
 • zanzibar ina vikosi; kmkm, jku, mafunzo
 • ina katiba yake
 • ina jaji mkuu wake
 • ina mahakama kuu yake
 • ongezea...!
hiyo ya ceremonial figure sio warranted.
Kuwa na katiba, jaji, mahakama haimaanishi ni nchi, wana ardhi?
kmkm hao ni kama mgambo tu au kama kampuni za ulinzi.
 
Jamani mimi Civics nilipata C.

Endeleeni na jamvi lenu.

Eti Maalim Seif kaapishwa na shein badala ya Jaji? Kweli njaa haina adabu.
Hiyo ina maana gani mwajiri wake mkuu ni Sheni si wananchi Sheni akitaka kumfukuza ni kitendo cha dakika moja, kwa maana hiyo Seif ataendelea kuwa mtiifu kwa sheni na si kwa waliomchagua. Zote hizo ni geresha za wanasiasa hawana maana yeyote.
 
ule ni mkoa tu ndani ya TZ,hadi wakijitenga basi ndio utsema ni nchi huru,serikali zaidi yua 70% ianongozwa na JMT ,jeshi.polisi vyote viko chini ya JMT ,sasa hapo sini ni geresha tu,hawawezi hata kujilinda zaidi ya JMT.:smile-big::A S angry:
 
Seif aliapa kwa Shei na sio kwa Judge,ebu weka sawa hiyo mbona haingii akilini
 
Back
Top Bottom