Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

Shemeji azoewii bro!Cha kwanza utakuwa huna akili kupinga story au ki kwenda viwanja na mashemeji yawezekana mkalewa mkaaza kushikashika ma bar medi itakuwaje?shemeji muheshimu nae aku heshimu over
Mkuu, kwa hiyo wewe shemeji yako wa kiume hawezi kuwa mwana?
 
Mambo vp jamiiforums.

Ninaomba kuanza kwa kutangua kusema maneno haya machungu ambayo yatawauma wanaume wengi sana. Hata mimi nilikuwa hivi hivi. Mwanaume wengi sana huwa hawawapendi shemeji zao wa kiume siku za mwanzoni.

Just imagine, kwa akili ile ya kitoto unajua kabisa huyu ndio anataka kumchukua dada yangu aende naye kwake awe analala naye siku zote for the rest of their lives. Huwaga kunakuwa na hali fulani hivi ya wivu kwa siku za kwanza ile baadae unaona kawaida tu na maisha yanaendelea.

Kuna watu watakuwa wanajiuliza wivu huu unatokea wapi wakati huyu ni kaka na dada yake na kamwe hawawezi kuoana. Wakaka wengi wanakuwaga na wivu na dada zao na mara nyingi jaribu kuangali watoto wakubwa wa kiume wanavyowachapa wadogo zao wa kike.

Huwa wanawachapa pindi wakisikia wadogo zao wapo katika uhusiano na vijana fulani wa mtaani hapo ambao ni washkaji zao wanaokaa wote vijiweni au siku dada mdogo amechelewa kurudi nyumbani bila maelezo ya kutosha. Hiyo ni aina ya wivu wa asili ambao wanaume wengi huwa nao dhidi ya ndugu zao wa kike wakiwa katika uchumba na shemeji zao.

BACK TO THE TOPIC
=====
Ewe kijana ambaye bado haujaoa mpaka sasa, siku utakapooa, shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao. Kalale nao chumba kimoja mpige story mpaka asubuhi.

Kama wao ni watu wa tungi kama wewe, siku hiyo nunua beer, choma nyama, kunyweni mlewe, msikilize mziki. Kama ni watu wa mpira, wachukue uende nao sehemu wanayoonesha mpira tofauti na hapo kwako.

Nenda nao hata huukoooo city center Kariakoo/Posta, angalieni mpira kula nao nyama choma, inelata raha na heshima sana. Unajua, unapoona katika familia fulani, wewe unakuwa ni sehemu ya familia ile. Hivi wewe kijana unalijua hili?

Kama mama mkwe wako ana watoto 3 wa kiume, basi wewe kama shemeji wa familia ile unakuwa mtoto wake wa 4. Kwa hiyo wale shemeji zako wa kiume wanakuwa brothers to you.

Wanakuwa brothers alafu washkaji zako, tena kama umri unalingana ndio raha zaidi kwa maana hata stories pamoja na interests zinaweza kufanana kwa sehemu kubwa.

Tena siku hiyo ndo nitamnyandua kwa mbwembwe zooote hili kaka zake wasikie. Tena shemeji zangu nitawalaza chumba ambacho aki scream sauti inawafikia vizuri kabisa ili wajue dada yao namtendea haki.
 
Tatizo ukitoka na shemeji zako ukifika kiwanjani ukiita demu wanakutolea macho sana wanahisi unamuua dada yao

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom