SHEMEJI yenu anawasabahi!

kiss me now.jpg
 
tunashukuru sana kupata hizi salamu kutoka kwa wifi......watoto pia hawajambo?...mbona hujatuwekea na picha zao....ni muda sasa toka tulipowaona
Watoto hujawaona, hebu angalia vizuri mkuu! wako saaafi.
dinka+5.jpg
 
...Mkuu shemeji vipi tena mdomoni ni kivuta hewa au ndio urembo uliomshauri aweke??

Huo ni urembo tu kaka! kama wadada wa mjini wanavyovaa vidani na vipini puani, kitovuni, kwenye ulimi, na wegine ki.........!Lolz
 
mmh huyu mbona nilishampa talaka siku nyingi, vipi kahamia kwako? alipoanza kunitania eti hiyo ni ya kichina ndo nikaona ohhho heri talaka
 
Wazungu wanaacha kutuletea nguo na chakula wanatulutea binduki.
 
mmh huyu mbona nilishampa talaka siku nyingi, vipi kahamia kwako? alipoanza kunitania eti hiyo ni ya kichina ndo nikaona ohhho heri talaka

Kumbe alikuwa kwako mkuu/...dah, hapa ndy amefika huyu mrembo..! walah rah tupu teh teh! Busu lake vp?
 
Kumbe alikuwa kwako mkuu/...dah, hapa ndy amefika huyu mrembo..! walah rah tupu teh teh! Busu lake vp?

Mpwa ( In this sense - Mume Mwenza) yaani ukimkorofisha kidogo tu alikua anakimbilia hako kadude kake, hata ukigoma usiku ukimwambia nimechoka, anaamka anaenda kukachukua, si ndio nikashindwa? kwa busu limetulia, nikuulize wewe, mie hizo nido zilinishinda hiyo mishipa tu,, wewe vipi unazipaka mafuta kwanza? kama vile unataka kukamua ng'ombe? maana....weee acha tu
 
Mkuu, hizo nido wewe hukuzijulia!..mimi nacheza na chuchu tu, mtoto ana mihemuko yenye vishawishi balaa, ukigusa chuchu tu kelele! Busu lake ndy usiseme! teh teh, ila kweli kwel anapenda sana mfumo jike-nakomaa naye tu kwa vile nampenda!
 
Hawa viumbe akili zikishakubali kuwa hako kamashine anaweza kumzima mtu muda wowote basi inakuwa nongwa. anaweza kukuhenyesha muda wowote na hakuna ku-compromise. niliwahi kukutana na mteule (Major) mmoja wa kike nikiwa JKT kwa kweli alinisumbua sana. Lakini alikuwa mzuri nadhani kosa langu kumuuliza kwa nini kwa uzuri ule alichagua ile kazi ya funga buti....
 
Lol! Hiyo kitu iliyo kifuani unaweza uikimbia mzee? teh teh

Akchuale ningekutana nae ningemwazima hiyo kitu mkuu... natamani kumiliki moja ya hiyo au AK47 kabisa!! hii nchi kuikomboa inabidi tubebe hizo mashine kama shemeji:smash:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom