Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,292
- 773
View attachment 17645
Utamwambia nn!
Utamwambia nn!
...Mkuu shemeji vipi tena mdomoni ni kivuta hewa au ndio urembo uliomshauri aweke??View attachment 17645
Utamwambia nn!
mmh huyu mbona nilishampa talaka siku nyingi, vipi kahamia kwako? alipoanza kunitania eti hiyo ni ya kichina ndo nikaona ohhho heri talaka
Kumbe alikuwa kwako mkuu/...dah, hapa ndy amefika huyu mrembo..! walah rah tupu teh teh! Busu lake vp?
Mpwa ( In this sense - Mume Mwenza) yaani ukimkorofisha kidogo tu alikua anakimbilia hako kadude kake, hata ukigoma usiku ukimwambia nimechoka, anaamka anaenda kukachukua, si ndio nikashindwa? kwa busu limetulia, nikuulize wewe, mie hizo nido zilinishinda hiyo mishipa tu,, wewe vipi unazipaka mafuta kwanza? kama vile unataka kukamua ng'ombe? maana....weee acha tu
Lol! Hiyo kitu iliyo kifuani unaweza uikimbia mzee? teh teh