Shemeji wa kike wa baba yangu mdogo ananihitaji kimapenzi nimkubalie

Msitumie makosa ya walopita kufanya ndio usahihi kwenu, mnajua wao walipatwa na nini kwa kuoana ndugu? Jikaze na wewe bana, mnajirahisi mno na nyie!!! Waswas wangu utakua ushapiga afu ndo unatwambia ili uone kama ulikua upo sahihi. Afu eti yupo sield....! wew je, upo sield au ndo utamsaliti huyo uliyenae? Siamin kama huna...... Ila poa, eti mamako mdogo kifaa. Utanambia siku nyingine kama ulikubali. cjui ndo utaoa na ww alikoolea babako?

Cjatumia kbs,kusema yuko sield hayo ni maneno yake na anauhakika kama ntakuwa mpenzi wake basi ndo ntakua wa kwanza kumuingilia kimwili,naposema kuwa ni mzuri ni sifa ya kawaida na haina mahusiano na maamuzi yangu.

Hapo umeomba ushaur au ume2ambia?ulijuaje kama sield kama sio umeshatenda....toa upuuz

Kumbe wee Zubeda_Mchuzi ni kidume!!!! sasa mbona huwa hueleweki? haya mkubalie ombi lake baada ya kuchuja faida na hasara za kufanya hivyo!

Kumbe wee Zubeda_Mchuzi ni kidume!!!! sasa mbona huwa hueleweki? haya mkubalie ombi lake baada ya kuchuja faida na hasara za kufanya hivyo!

We huna msimamo maana hata hujui ka unamtaka au humtaki kula mzigo ila ucfanye parking unasimama kwa muda unaendelea na safari yako
we piga mashine bwana. ila kama huna mpenzi oa kabisa

shemeji wa kike wa baba yangu mdogo anani hitaji kimapenzi,tena ana niambia mimi na yeye si ndugu kabisa,zaidi baba yangu mdogo kumuoa dada yake.na akaonggeza wazazi wake yeye waliooana ndugu iweje mimi ishindikane,alafu ni sield huyu mama mdogo.nipo njia panda.
Na nikifaa acha kabisaaaaaaa...........

we zubeda mbona sikuelewi unamtamani mwanamke mwenzio mbona jina lako ni la kike au semanya?

zubedaaa...ushauri wangu ni kwamba..."mwambie babako mdogo kuwa mdogo wake mama yako mdogo anataka umgonge ngozi ila wewe hutaki kama vipi babako mdogo agonge double plattinum...hiyo itakuwa imekaa fresh.

jama wadogo zako kutoka kwa baba mdogo watakuitaje na huyo mwanamke atakuwa anamuitaje baba yako mdogo mambo mengine tusiwe na tamaa wanawake kwa nini ni wengi sana tafuta mwingine achana naye itatokea aibu hasa mtakapo kuwa na ugomvi ndio utajua nani ashauli au asishauli yangu ni hayo tu

Nimekupata mkuu

zubedaaa...ushauri wangu ni kwamba..."mwambie babako mdogo kuwa mdogo wake mama yako mdogo anataka umgonge ngozi ila wewe hutaki kama vipi babako mdogo agonge double plattinum...hiyo itakuwa imekaa fresh.

Ningefanya hvyo kama wangekuwa wote wajaluo ndo wenye mila hizo.

[B said:
zubeda_mchuzi[/B];2483139]shemeji wa kike wa baba yaNGU mdogo anani hitaji kimapenzi,tena ana niambia mimi na yeye si ndugu kabisa,zaidi baba yangu mdogo kumuoa dada yake.Na akaonggeza wazazi wake yeye waliooana ndugu iweje mimi ishindikane,alafu ni sield huyu mama mdogo.nipo njia panda.
Na nikifaa acha kabisaaaaaaa...........

Kumbe kuna Zubeda wanaume siku hizi.

Toa ushauri ID siyo isue,
kumbe hujanisoma?! mi ID yako sina shida nayo. nlikua namaanisha cjakuelewa coz ID yako nikiisoma inaonesha ww ni ke na post nikiisome maelezo yake yanaonesha ww ni me .......ndio mana nkakuuliza mbn ID na post yako mama mmoja baba mbalimbali? ww ni me au ke? ili niweze kukupa ushauri.

Back
Top Bottom