shemeji simuelewi

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,208
shemeji analalamika simpigii simu na anataka kuniona me nipo busy na ishu zangu kwani lazima nifanye anavyotaka yeye si mpaka niamue mwishowe uvumilivu utanishinda!
 
Huenda anakutafuta akuahitakie anavyofanyiwa na rafiki yako, wala si vinginevyo
 
ChaUkawa, unatutatiza kidogo hebu tuambie, wewe ni mwanaume au mwanamke?Maelezo yako hayajitoshelezi. Ila kimsingi ni dhambi unapaswa kumpinga shetani kwa nguvu zako na akili zako zote!
 
Game over
 

Attachments

  • 1401077605575.jpg
    1401077605575.jpg
    73.2 KB · Views: 79
Back
Top Bottom