Shemeji mawenge

Starboywiz

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
867
1,441
Habari wakubwa, mimi ni kijana (early 20's)..pia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kimoja hapa jijini Mbeya.

Lengo kubwa la kuandika huu uzi ni kuwaomba ushauri kwa haya machache. Ipo hivi, nyumbani kwetu tumezaliwa watoto wa kiume wanne, yan mimi na kaka zangu wakubwa watatu.

Mwez wa kumi na mbili mwaka 2017 tulimpoteza kaka yetu mkubwa ambaye alifariki kwa sababu fulani fulani(sio muhim kuzi expose hapa), bro alishawahi kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja ambaye walikuja kuachana kwa sababu ya yy (kaka) kugundulika kuwa amempa mimba mwanamke mwingine, kiukwel waliachana peacefully kabisa na wakaendelea kuwa washkaji wa kawaida tuu.

Kwnye mahusiano mapya ya bro walifanikiwa kupata mtoto wa kiume, lkn wazazi wa yule binti walikataa kabisa binti yao kuolewa na kaka mkubwa (kutokana na sababu za ugomvi wa familia yao na yetu). Bro alimpenda sana huyu bint na binti alimpenda pia bro..ikafikia kipindi binti akawa analazimisha kuondoka kwao akaishi na kaka.. katikat ya matatizo hayo bro akapata zari la kupendwa na mwanamke flan hivi ambae wakawa tayari kujenga familia pamoja..Lkn katikat ya harakat hizo ndipo yakatokea hayo matatizo ya bro kufariki RIP.

Miezi kadhaa baada ya bro kufariki, palitokea ukaribu mkubwa sana kati yangu na yule mwanamke wa kwanza (wa kwanza kwene hii 'story' sio kwenye maisha yake!)..na katika ukaribu huo ambao mimi niliuchukulia kama urafiki wa kawaida tuu yakaibuka mahusiano ya kimapenzi ambayo hata mimi pia yalinishangaza, kwanza yalinishangaza kutokana na historia yetu mimi na yeye..na pia tofauti kubwa ya umri iliyopo kati yetu. Lakini ikanibidi tuu nizowee, na kiukweli saiv nampenda kweli huyu mwanamke wangu, licha ya tofaut zilizopo kati yetu bado ananiheshim na kunisapot sana kwa vitu vingi.

Nikiwa katika mahusiano hya, bro wangu mwingine (second born) akaniambia kwamba yule mwanamke alozaa na bro anajires sana kwake, niliogopa mana najua ndio shemej yetu official kbsa..lkn bro akamalizia na sentens ambayo kiukwel ikabdili hofu yangu kuwa tamaa. Bro alisema (Lakini poa tu saivi si hana wa kumkuna)..ndipo hapo tamaa ya 'kiuvulana' ikaniingia nikawaza kwamba ngoja nijaribu 'bahati' yangu mana namjua huyu bro mamb yake yeye slow kama tropism tuu. Siku hiyo hiyo nikaanza kuchat na huyo shem, nikamualika hom akaja, kilichofata kinajulikana...

Utata ukaanza kwamba shem baada ya mchezo akaniukiza "una mpango gani na mimi?" Sikutegemea hilo swal mana nilijua nae angechukulia hyo kama casual sex mana "..hana mtu wa kumkuna". Nikamzuga zuga tuu hapo sikumpa jibu. Alipoondoka kufika kwao akazidi kuniuliza hili swali, mi nikamkubusha jinsi background yetu haituruhusu kuwa pamoja, nikamwmbia kwamba tuna option mbili, tuifanye siri hii kitu au tusiendelee kabisa. Jinsi alivonijibu nimeambatabisha hapo chini.

Ukweli ni kwamba mim nmeamua kubeba kandambili zangu niziweke kwapani nitembee mbele mana huyu mwanamke anafikiria vitu ambavyo kiukwel haviwezekani kwani mimi nna mahusiano yangu rasmi.

Leo asubuhi braza angu 2nd born kanitumia msj kwamba leo wamepanga ratiba ili aende 'kumla' huyo shemej etu, nimeshtuka sana mana mimi huyu ni juz tu imetoka kutokea kati yetu. Nimejikuta nipo njiapanda ya maamuzi..sielewi kwamba natakiwa kumwambia bro kilichotokea au nikaushe tuu! lakini pia namhofia huyu mwanamke kwani nimeanza kuhisi kwamba ana matatizo lbda yuko overstressed kwa yale yaliyomkuta ndomana anafanya maamuzi kama haya..Je mimwambie bro au niache muda uamue?

Asanteni

2018-08-06%2008.19.09.jpg
2018-08-06%2008.27.50.jpg
2018-08-06%2008.29.29.jpg
 
Kwanini mwanamke kawazidi akili anawavua chupi ndugu watatu wote huo mji hauna wanawake wazuri wengine mnaidharirisha familia yenu acheni mchezo huo mkemeeni huyo mwanamke
Asante kwa ushauri
 
Kwanini mwanamke kawazidi akili anawavua chupi ndugu watatu wote huo mji hauna wanawake wazuri wengine mnaidharirisha familia yenu acheni mchezo huo mkemeeni huyo mwanamke
Wao wenyewe ni wajinga afu wanasimuliana mtu na kaka yake eti leo ninaratiba ya kwenda kukutana na ALIEKUA MPENZI WA MAREHEM KAKA YAO afu wanakuja kuomba ushari kwanza unasoma chuo gani dogo?
 
Kama sio MUST ni TIA au Mzumbe wewe. Mbona vyuoni wanawake wamejaa mkuu.? Hiyo tamaa gani kumkula shemeji yenu.?

Mwanaume ana vichwa viwili sasa nyie mna vichwa sita mmezidiwa na kichwa kimoja.? Ila shemeji naye anaonekana chama la wana. Kuweni makini yawezekana hamna uhakika kama bro alikufa kwa nini.

Nakuuliza. Unalijua tego wewe.?
 
Wao wenyewe ni wajinga afu wanasimuliana mtu na kaka yake eti leo ninaratiba ya kwenda kukutana na ALIEKUA MPENZI WA MAREHEM KAKA YAO afu wanakuja kuomba ushari kwanza unasoma chuo gani dogo?
Ningekua nataka kusema nasoma chuo gani ningesema tangu hapo juu kwenye thread.

Halafu mkuu mimi sio mchafu kuliko watu wote duniani..na wewe sio msafi kiasi hicho. haya mambo yapo, ni kwamba tuu mimi yangu umetokea kuyajua. Ungetoa tuu ushauri sio kushambulia hivyo.

Asante
 
Nyinyi ndugu mliobaki msipoangali mtaishi, khaaa mambo gani hayo mnafanya jamani? na wewe hapo ulipo una mahusiano na mwanamke alikuwa wa kaka yako wa kwanza kama haitoshi umeenda kutembea na mwingine aliezaa nae, tena mnashea wewe na mwenzio kwa akili tu ya kaiwada hauoni kama hiyo ni laana inawatafuta na itaendelea kuwatafuta maana mnaipa nafasi, mkimaliza kutembea na wanawake wa huyo marehemu kaka yenu mtaanza kushea wanawake zenu. Naamni mpaka umepata wazo la kuja kuomba ushauri kuna kitu wewe mwenyewe umegundua hakiko sawa, sasa basi hebu ongea na Mungu wako, OMBA TOBA kwa kumaanisha, Muombe Mungu akuondolee hiyo ROHO ya uzinzi, na uvunje vifungo na laana zote zilizowashikilia wewe na ndugu zako trust me hiyo ni laana mmeijenga na msipoivunja sasa itawagharimu sana maishani. Na uachane hata na huyo mwanamke mwingine ulienae muombe sana Mungu akuongoze, jamani mpaka nimetetemeka, najua uzinzi upo ila duh mengine yanatisha
 
Kabisa mkuu, asante kwa ushauri maridhawa naahidi kuufanyia kazi kuanzia sasa
 
Mungu amsaidie kuelewa ulichokiandika Mama Mchungaji.
 
Bro sio siri mnazingua aiseee, inaonekana hiyo familia mlikuwa hampendani na hamuheshimiani. Kabisa mwana unakula waliokuwa wake wa kaka yako tena na bro wako mwingine anaenda kula. Badilikeni aiseee. Wasichana wako kibao mnafanya mambo ya hivyo.
 
Back
Top Bottom