Shemeji haeleweki jamani!

rafiki gani msiri hivyo/huyo jamaa anacheza mchezo mchafu,inawezekana hata huyo anayeongea naye kwenye mtandao si yeye ni rafiki zake,she is toying with a girl,tell your shemeji to come to her sense,the guy could have a wife or other concubines....she will become like an old cloth/rag in no time ready to be throwed away....girls open you eyes dont be carried with your emmotions you may end up in a ditch,dont trust men easily.....
 
Kwanza una kurupukaje kumpeleka mwanamme nyumbani kwako kirahisi hivyo? Huyo jama keshaona Kama Huyo rafiki yako sie ndio mana akaanzaa kumuanzia vituko, sasa mwambie akamuonyeshe na ATM kuna ngspi ili ampende zaidi...

sio lazima thred zote ucoment, nyngine pita tu. Ni ombi tu
 
Kwanza una kurupukaje kumpeleka mwanamme nyumbani kwako kirahisi hivyo? Huyo jama keshaona Kama Huyo rafiki yako sie ndio mana akaanzaa kumuanzia vituko, sasa mwambie akamuonyeshe na ATM kuna ngspi ili ampende zaidi...

huyo shosti wako ana ukame nn wa kutongozwa na watu wanaojielewa ndio maana anashindwa kujiongeza na kuchanganua ukweli wa mambo.sometimes exposure inasaidia jamani.

sidhani kama unaelewa the meaning of love, hujawah kusikia chongo mtu anaita kengeza.
 
100% ni mme wa mtu huyo..kwa sasa hapokei tena simu ngoja zikimshika atakuja atasema aliwekwa ndani wiki mbili na polisi wakamnyanganya simu kwa kesi ilee niliyokwambiaga. rafikiyo atakubali ataliwa tena thn shemejiyo atarun tena tena tena na tena
 
Mambo mengine bwana

Kwani walizaliwa wote, na wanaume wameisha au?
 
100% ni mme wa mtu huyo..kwa sasa hapokei tena simu ngoja zikimshika atakuja atasema aliwekwa ndani wiki mbili na polisi wakamnyanganya simu kwa kesi ilee niliyokwambiaga. rafikiyo atakubali ataliwa tena thn shemejiyo atarun tena tena tena na tena[/QUOT

sidhani kama atakuwa mjinga kiasi hicho, nadhani kwa mawazo niliyoyapata humu ntakapo kaa naye kumshauri ataelewa
 
sasa we unajuaje kuwa wamesex mara 1? hii story inakuhusu wewe acha kuficha.
 
Mmmmmmhhh! Kuna harufu ya kutapeliwa mtu moyo wake!
Naomba kupita, Over!
 
Rafiki yangu kipenzi anasoma chuo flani hapa mjini, amekuwa katika mapenzi na mwanaume mmoja ambaye amekuwa haeleweki yaani utadhani ndo yahaya aliyeibwa na Jide.

Rafiki yangu anaonekana anampenda sana huyo bwana shemeji, wana kama almost miez mitatu tangu wamefahamiana, wamesex mara moja baada ya kupima na kukuta wote wazima.

Bwa she anafanya kazi katika kampuni flani hivi ila bi shost hajui ofisi ya mpenzi wake ilipo. Katika muda wote wa mahusiano mwanaume hajawah kumpeleka mwanamke nyumbani kwake wala inavyoelekea hana mpango. Mwanaume anapajua kwa bidada japo huwa sio mkaaji huenda kumchukuwa wanapokuwa na mtoko na baadae humrudisha coz shostito hana usafiri,

kimbembe kimeanza wiki mbili zilizopita, mwanaume kapotea kwenye cm hapatikani, rafiki yangu hajui ampate vp, hajabahatika kutambulishwa kwa rafiki wala ndugu yeyote wa mwanaume wala hapajui kwake, jamaa kapotea kama wki hivi, walikuwa wanamazowea ya kuchat kwenye moja ya mtandao wa kijamii nako akatoweka, akachange username kibaya zaid akaweka jina na picha ya kike.

Jana kaibuka! Kapiga cm anadai anataka waonane, rafiki yangu akamuomba amuelekeze kwake ili aende bwa she akagoma, alipoulizwa sababu za kutokupatikana jamaa akagoma kueleza kwamba mpaka waonane ila akadai alikuwa na matatizo,

baada kama ya nusu saa jamaa akafika kwa rafiki yangu tayar kwa mtoko, walienda hoteli moja nje kidogo ya mji.

Wakiwa huko mwanaume aliomba sana msamaha, alidai kapata matatizo kazini kutokana na loss aliyoiingizia kampuni kwa uzembe, alikiri kwamba pesa hiyo aliitumia na ndio amenunulia gari na vitu vingine na kwamba aliamua kuzima cm kwani mbali na kufukuzwa kazi anatafutwa kwa hatua zaid kisheria.

Rafiki yangu alimpa pole na kumshauri angalau atafute line nyingine ambayo watakuwa wakiwasiliana wao wawili tu, aliahid kufanya hivyo leo asubuhi kwani wakati huo ilikuwa tayari ni usiku.

Tangu jana usiku alipomshusha rafiki yangu getini shemeji yangu huyo hapatikani kwenye cm, hakuwahi hata kumwambia kama kafika salama.

Rafiki yangu kakosa raha, anafikiria kuachana naye ila anahofu mwanaume asimchukulie kwamba kamuacha kwa vile katimuliwa kazini.

Ameniomba ushauri ila mm kabla ya kumpa ushauri nimeona niwashaurishe wenzangu. Binafsi nimeshindwa kutoa ushauri kwani kunamaswali najiuliza sipati majibu

1.kama tatizo ni loss kazini ndo ashindwe kutafuta njia yoyote ya kuwasiliana na mpenzi wake?

2.kwa nini hataki rafiki yangu apafaham anapoishi na wala hajamtambulisha kwa ndugu wala rafiki yeyote?

3ivi inshu ya kazini ndo imefenye aweke username na pic ya kike kwenye account yake ya moja ya mtandao wa kijamii ambao alikuwa akiwasiliana na mpenzi wake? Na leo nasikia kajitoka kabisa hayumo kwenye mtandao huo, je hii ni sababu ya matatizo ya kikazi?

4. Aliahd leo atanunua line mpya kwaajili ya kuwasiliana na rafiki yangu mbona hajatekeleza? Na kwanini walipokuwa hotelin cm ilikuwa one na alikuwa akipigiwa na watu na kupokea?

Jamani nisaidieni mawazo mwenzangu coz nimejikuta navaa uhusika na kuumizwa sana na huyu mtu. Na ww shemeji kama unapita humu nakupa ujumbe ufanyavyo sio vizur kama unamambo yako ni bora umuweke wazi mwenzio na sio kumpotezea muda wake, nawasilisha.

aachane nae cos hajamjua vizuri and its hard for her to knw him .
And beside bidada pamoja na mapenzi akili hana!! We miezi mitatu umekuwa huru ivo jamani! Hmm au me ndo mshamba!
Okay sio mbaya sana kama mtu angekuwa the same... Apo ukute ana mke na watoto ama criminal! Ningekuwa mimi nasehemu nahama..af nampotezea mazima! Siendekezi ujinga
 
sidhani kama unaelewa the meaning of love, hujawah kusikia chongo mtu anaita kengeza.
Haija khusu chongo hapo wala kipofu,hakutakiwa ampeleke mwanamme hata humjui vizuri unampeleka kwako dunia yenyewe hii wengi waume wanavaa ngozi ya kondo..........
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom