kazikubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 597
- 143
Jamani mwenzenu ninamasikitiko makubwa sana. Shemeji aliyeoa dada yangu ananichukulia mke wangu, nilikuwa nasikia tu fununu siku za nyuma lakini sasa ushahidi umekuwa dhahiri. Kulipa kisasi kwake haiwezekani kwani mkewe ni dada yangu wa tumbo moja. Naogopa kuliweka wazi hili kwa sababu naona aibu kwa familia yetu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu katika hili, nifanyeje jamani...
Ndugu zangu naomba ushauri wenu katika hili, nifanyeje jamani...