Shemeji ana mchepuko ninaoujua, ili aachane nao anataka achepuke na mimi. Anasema ndugu yangu hawezi kazi

Hapo mzee kwenye kutaka kuendekeza conversation ya kijinga na shemej ako wakat kabisa ushaona anataka nin kwako hapo ndio ujasir wako unapojitokeza mkuu.Acha kabisaa hiyo kitu tena haipaswi kujenga mazoea hayo.
Umeeleweka Sana mkuu
 
Wewe jamaa,yaani kuambiwa tu hivyo unapaniki? Wengine hutumiwa mpaka picha za x na Shem zao lakini wametulia tu kimyaaa,nilichojifunza kwenye maisha kuna mambo yanayokuhusu lakini hupaswi kuyajua ili maisha yaende
 
Subiri mpaka kaka yako amuache ndio umkule..HUYO NI MUHUNI TU,HANA SIKU NYINGI ATAACHWA TU.Wewe kausha.Akiachwa mtafute umkule
 
Baada ya kumkuta na njemba fulani analochepuka nalo,akajitetea kwamba ndugu yangu hawezi kazi ndio maana ameamua kuchepuka,ila kama nataka aachane na jamaa basi Mimi niwe tayari kumpa huduma,ilikuwa Kama utani vile lakini naona yuko serious ameamua kunitia majaribuni,ananitumia jumbe Whatsapp na kuzifuta nikimuuliza ujumbe uliotuma unahusu Nini ananiambia amesahau alichoandika,yaani naelekea kushindwa na huu mtihani,chonde chonde akina shemeji popote mlipo acheni kuwatia majaribuni ndugu wa mabwana zenu,mtavunja udugu wao mtajenga uhasama usiokuwa na kikomo
sasa unakaribia kuwa shemela
 
Daaah!! Hivi wadada kama hamridhishwi na wanaume wenu mnashindwa hata kukaa kikao kifupi mkayaongea mjue tatizo lipo wapi! Kuchepuka unajua sio ndo mwisho wa kutatua matatizo ni mwanzo wa kusaka umeme....

Halafu na nyie wanaume mnaoshindwa kuwaridhisha wanawake wenu mnakwama wapi?? Au ndo we ukishamwaga basi ndo shughuli imefika tena unajiwahisha haraka haraka hata dk 5 hazipiti!!

Wanaume jamani hakikisha kwanza mwenzako unamkojoza hata bao moja then na ww ndo unalitafuta bao lako...then unajipa nusu saa ya kurelax then game linaendelea yaani hapo mpaka K yake ikauke akuambie inatosha kwa sasa!!!

Sema kuna wanawake huwa hata hawaridhiki sijui wanashida gani I see!!!!
 
Jitahidi ukatishe mawasiliano nae..mambo ya Kaka yako na mkewe waachie wenyewe
 
Nipe namba ya shemej yako nikudaidie kazi ni kwelii kabisaa kuweka alipoweka ndugu yako wa damu sio poa nmekichek pm mkuu
 
Ila we jamaa unajua kuchekeshaa eti kama sio wale wanaopenda kwa kutumia mboo kwa iyo wengine wanapenda kwa kutumia nn
Ni Mke wa kaka yako.

Ohh ni demu tu kama walivo madem wengin???


BTW nachotaka kusema hapa, ni wewe kumwambia kaka yako, kua Demu wako anatombwaa nje na mchizi fulan, naushahidi huu hapa.


Utakua umemuokoa kaka yako kama sio wale wanaopenda kwa kutumia Mbooo !!!
 
Back
Top Bottom