shemale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shemale

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Jan 1, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ukitazama yale mambo yaleee utawakuta wengi kweli kwenye 'niche' yao. kwa hapa bongo kweli hawa watu wapo kiivyo? wanajichanganya vipi na jamii zao? if by chance 'ukakutana' nae, what will you do
   
 2. jlm

  jlm Member

  #2
  Jan 1, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Hao wapo mbona wengi tu lakn kwa bongo wanajificha sababu wanahisi kama ulemavu au laana kwahyo familia zinawaficha sana.mi namfaham mmoja wao alikuwa anaishi mbeya kule cjui kama bado yupo au vipi.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Never came accross!
  Mi huwa nadhani wanafanyiwa operation ili kuwa vile...!
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nadhani ile ni kuzaliwa vile. wana tabu sana bila shaka kucope na ulimwengu wa kawaida
   
 5. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapo japo ni wachache sana. Mimi nimewahi kukutana na wawili huko kanda ya ziwa.
   
 6. GP

  GP JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ulikutana nao kivipi mkuu, fafanua basi.
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mh hawa noma ukichukua hakawii kukuambia na mimi zamu yangu
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ni mashoga ambao wameenda mbali zaidi kwa kujiongezea matiti na kuvaa kikike.
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hata sura na maumbo wamejiongezea?
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wanafanya plastic surgery!!!!
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kazi ipo, ila wapo ambao ni natural shemales
   
Loading...