Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,700
Takribani week sasa hakuna maji -- Basihaya mpaka Ununio yote. Inasemekana ujenzi wa hiyo sheli umepasua bomba kubwa linasambaza maji maeneo hayo.
Swali la kujiuliza: Je, mmiliki wa hiyo sheli hakufanya utafiti kujua kwamba chini kuna bomba la maji? Maana maji ni uhai bora wangekata umeme.
Mamlaka zinazohusika tunaomba mshughulikie hii kero tunayoipata wananchi alafu mpo karibu tu hapo week sasa maji hakuna.