Elections 2010 Shekhe yahya jipe moyo

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Kuna wengi duniani wanaamini kuwa uchawi upo na wengine wanaamini kuwa haupo. Lakini hata Biblia inasema wazi kuwa wachawi na uchawi up. (Kumbuka katika kitabu cha daniel, mfalme Nebkadreza aliposahau ndoto aliyoota aliwaita wengi mojawapo walikuwa wachawi) ili wamkumbushe ndoto na kisha waitafsiri. Bila shaka walishindwa ila daniel aliweza kwa kuwa alikuwa na nguvu za Mungu aliyehai.

lakini sasa uchawi haufanyi kazi kwa asiyeuamini. kama unauamini, unafanya kazi mpaka unaweza kushangaa. sasa kwa vile Bingwa wa kuanguka JK anamwamini Jk kwa siku nyingi tangu alipokuwa hajasema hadharani kuwa anamlinda, na anaamini kazi zake; Je Shakhe yahya hawezi kuloga masanduki ya kura yakabadilika na kura zote zikageuka za JK?
:A S 465:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom