Shekhe ahukumiwa miaka 30 kwa kubaka kitoto Kigoma

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,018
114,363
wanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kitongoni, mwenye umri wa miaka 14 na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri. Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu wa Mahakama hiyo, Frola Mtariania, baada ya upande wa mashtaka kuthibitisha kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo.

Hakimu Frola, akitoa hukumu hiyo, alisema mahakama inatoa adhabu kali dhidi ya mshtakiwa ili iwe fundisho kwake na kwa viongozi wengine wenye tabia ya kikatili kama yake. Alisema upande wa mashtaka ulipeleka mashahidi watano, pamoja na kielelezo cha PF3, ambacho kilithibitisha kwamba Sheikh Bamba mshtakiwa alitenda kosa hilo. Alipotakiwa kujitetea ili kupunguziwa adhabu, akiongozwa na wakili wa kujitegemea Method Kabuguzi, mshtakiwa aliangua kilio na kuiomba mahakama impunguzie adhabu kwa sababu ana familia inamtegemea. Pia alidai ni kosa lake la kwanza tena shetani alimwingilia.

Hakimu Frola alitupilia mbali utetezi huo na kusema: "Mshtakiwa ukiwa kiongozi wa dini, kitendo ulichokifanya si cha kijamii maana wewe ndiwe unayefundisha watu kuachana na maovu cha kushangaza unakuwa ndiye wa kwanza kuyatenda maovu. "Sasa utakwenda gerezani miaka 30 ili ukajifunze tabia ya kuwa kiongozi bora wa dini, kwa sababu huku uraiani umeshindwa kuishi na jamii." Awali, akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali Anita Julius, alidai kuwa Januari Mosi, mwaka huu, saa 4 asubuhi eneo la Ujiji Kigoma, mshtakiwa huyo alibaka msichana huyo.

Ilidaikwa kuwa siku ya tukio mtoto aliyebakwa akiwa na pacha wake, ambao baba yao ni rafiki wa sheikh huyo, walikwenda kwa sheikh huyo kwa ajili ya kuombewa duwa na kufanyiwa dawa kwa ajili ya kufaulu mtihani wa kuingia darasa la saba. Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, baada ya kufika, Bamba alimtuma mwenzake aende shuleni kuchukua mchanga na ndipo alipomfanyika kitendo hicho yule aliyebaki. Mwenzake aliporejea, ilidaiwa kuwa alimkuta pacha wake analia na alipomuuliza alimjibu kuwa amebakwa na Bamba.

Umati mkubwa wa wakazi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji, wakiwamo waumini wa msikiti aliokuwa akiswalisha, ulikusanyika mahakamani na kushuhudia Sheikh huyo anapelekwa jela
 
wanafunzi wa darasa la
sita katika Shule ya Msingi
Kitongoni, mwenye umri wa
miaka 14 na kumsababishia
maumivu makali sehemu za
siri.
Hukumu hiyo ilitolewa jana
na Hakimu wa Mahakama
hiyo, Frola Mtariania, baada
ya upande wa mashtaka
kuthibitisha kuwa
mshtakiwa alitenda kosa
hilo.
Hakimu Frola, akitoa hukumu
hiyo, alisema mahakama
inatoa adhabu kali dhidi ya
mshtakiwa ili iwe fundisho
kwake na kwa viongozi
wengine wenye tabia ya
kikatili kama yake.
Alisema upande wa
mashtaka ulipeleka
mashahidi watano, pamoja
na kielelezo cha PF3,
ambacho kilithibitisha
kwamba Sheikh Bamba
mshtakiwa alitenda kosa
hilo.
Alipotakiwa kujitetea ili
kupunguziwa adhabu,
akiongozwa na wakili wa
kujitegemea Method
Kabuguzi, mshtakiwa
aliangua kilio na kuiomba
mahakama impunguzie
adhabu kwa sababu ana
familia inamtegemea.
Pia alidai ni kosa lake la
kwanza tena shetani
alimwingilia. Hakimu Frola
alitupilia mbali utetezi huo na
kusema:
"Mshtakiwa ukiwa kiongozi
wa dini, kitendo
ulichokifanya si cha kijamii
maana wewe ndiwe
unayefundisha watu
kuachana na maovu cha
kushangaza unakuwa ndiye
wa kwanza kuyatenda
maovu.
"Sasa utakwenda gerezani
miaka 30 ili ukajifunze tabia
ya kuwa kiongozi bora wa
dini, kwa sababu huku
uraiani umeshindwa kuishi
na jamii."
Awali, akisoma hati ya
mashtaka, Wakili wa Serikali
Anita Julius, alidai kuwa
Januari Mosi, mwaka huu,
saa 4 asubuhi eneo la Ujiji
Kigoma, mshtakiwa huyo
alibaka msichana huyo.
Ilidaikwa kuwa siku ya tukio
mtoto aliyebakwa akiwa na
pacha wake, ambao baba
yao ni rafiki wa sheikh huyo,
walikwenda kwa sheikh
huyo kwa ajili ya kuombewa
duwa na kufanyiwa dawa
kwa ajili ya kufaulu mtihani
wa kuingia darasa la saba.
Kwa mujibu wa hati ya
mashtaka, baada ya kufika,
Bamba alimtuma mwenzake
aende shuleni kuchukua
mchanga na ndipo
alipomfanyika kitendo hicho
yule aliyebaki.
Mwenzake aliporejea,
ilidaiwa kuwa alimkuta
pacha wake analia na
alipomuuliza alimjibu kuwa
amebakwa na Bamba.
Umati mkubwa wa wakazi
wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji,
wakiwamo waumini wa
msikiti aliokuwa akiswalisha,
ulikusanyika mahakamani na
kushuhudia Sheikh huyo
anapelekwa jela

UMEANDIKAJE UJUMBE WAKO??? UNASOMEKA KWA SHIDA JAMANI, EDIT BASI
 
huyu alifaa afungwe maisha ........!! na sina hakika kama ni shehe kweli, inawezekana ni Mwl wa madrasa tu akaitwa shehe. na kama ni sheikh basi ni SHEHENA.
 
Back
Top Bottom