Shekha Nasser :Mtanzania mjasiliamali ndani ya DW NEWS !!

Ni nani huyo na amefanya kitu gani maana sisi wengine ndio tunasikia kwako. Tupe kwa ufupi kazi yake na alichofanya kusaidia kina dada wa bongo tusijeshabikia tu kwa kufuata upepo.
 
Anawasaidia kinadada kwa kuwafunza Ususi na Upambaji
 
Ni nani huyo na amefanya kitu gani maana sisi wengine ndio tunasikia kwako. Tupe kwa ufupi kazi yake na alichofanya kusaidia kina dada wa bongo tusijeshabikia tu kwa kufuata upepo.
Anamiliki maduka ya urembo yanaitwa Sheir Illusions, pia ana brand yake ya vipodozi lipstick, powder and foundation zinaitwa Manjano. Pia anachuo cha kufundisha watu maswala ya urembo kinaitwa Manjano dream makers.. Etc etc
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom