Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,789
Rais wangu Dr Shein, uteuzi wako ulioufanya wa kulichagua jipu kuu kama msaidizi wako namba moja, umejitenganisha na mtumbua majipu, Rais Magufuli kwa mbali sana.
Aidha umeisuta kauli yako mwenyewe si zaidi ya masaa 36 ulioitowa kuwa utafuata nyayo za JPM.Ulichokifanya si kumpata punda yuleyule tu lakini hata soji hujambadilishia, na limebaki lile lile.
Msaidizi wako huyo kakosa mvuto ndani ya jamii ya kizanzibari sio kwa CUF tu lakini hata CCM. Anahusishwa na kila ovu, lanalotokea visiwani, liwe la kiungu,la kijamii, siasa, la kiutamaduni, silka na mengineyo.
Nimazungumzo yasiofichika kuwa yeye ni chanzo kikuu cha CCM kushindwa kwenye uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba 2015 kabla ya Kikwete kuinusuru siku kwa kutumia nguvu za dola. Ikumbukwe kuwa yeye alikuwa ni mwenyekiti wa kamati ya ushindi wa CCM.
Hata jimboni kwake katika kwenye kura za maoni za wajumbe wa CCM kulitokea pingamizi na mtafaruku, mabomu ya machozi kuripuliwa na kulazimika uchaguzi ujerewe. Hii ni ishara tosha kuwa alikuwa si mtu wa watu ndani ya CCM
Lakini hata taaluma yake ya kidoplomosia ina mushkeli mkubwa. Angalia wana diplomasia wawili hAwa, wote ni CCM kuhusu MCC;
BALOZI MHIGA - Tunasikitishwa sana na hatua ya serikali ya marekani juu ya maamuzi.....
BALOZI SEIF - Hatushtuki wala hatubabaiki ......
Tutegemee nini kutoka hekima ya msaidizi wako huyu.
Marekani ni taifa kubwa sana lenye nguvu kiuchumi na kiushawishi. Mataifa makubwa yaliostawi yanasambaratika na mwishoe kumalizia kumpigia goti, seuze sis hohehahe. Zmbabwe ipo wapi, Iran taifa lenye utajiri na ushawishi nalo limepiga magoti, Venezuela sasa inasambaratika, Cuba inaramba miguu, orodha ni ndefu.