Elections 2010 Shein aapishwa bila Seif?

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,107
10,803
Jamani muda mfupi uliopita dkt Ali Mohammed Shein kaapishwa rasmi kuwa raisi wa awamu ya 7 ya uongozi Zanzibar.
Mimi nilikuwa nikisikiliza matangazo kupitia redio lakini sikuwa na utulivu wa kutosha kufuatilia kila kitu, isipokuwa sikuwa nasikia jina la makamo wa rais maalim Seif likitajwa.Nikauliza mbona Seif simsikii!.Wale waliokuwa karibu na redio wakaniambia"Wala Seif hayupo!".
Mliokuwa mkifuatilia kupitia runinga au wenye habari za uhakika naomba watuarifu.Ikiwa huu ni umbea tu Mod. naomba ondoa.
 
Back
Top Bottom