Sheikh Yahya na mamilioni ya TBC1

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,236
Jamani nasikia huyu bwana pamoja na uchawi wake wa kudanganya watu na kutabiria watu lakini ni masikini sana.........lakini nashangaa anashindwa hata kutabiri ushindi tbc1 ili apate mamilioni...kweli jamani pana mtabiri hapo au yeye anatabiri vifo tu?
 
Akirogwa atabiri tu,basi ndo mwisho wake wa utabiri!mbona hajitabirii atakufa lini?
 
jamani jamani , mganga yule, anawaona wote mnaomsema sema humu ndani, atashughulika nanyi mara moja, namtakufa mara moja, Yahya Bin Hussein mtata sana ila ni mtoto wa mjini anaishi kimjini mjini tu, wajinga ndio waliwao , alkadabra michezo ya wajanja.
 
aah..........wapi? pamoja na uchawi wake.....
 
Wajinga ndio waliwao. Umeshaona waganga walivyo masikini, wana maisha mabayaaaa, ufukara, and they are not happy, ila watu ndio wanamiminika kwenda kufuata bahati, ushauri, wapate pesa wakati mganga hajaweza kujipatia vitu hivyo kwa hizo nguvu zake. Na hawa ni watu wenye akili zao, wasomi wengine wana vyeo. Shetani anatesa sana, na wanaoteswa wamekubali mateso hayo, pheeew!
 
nasikia hata watoto wake wana maisha mabaya na hata shule hawajaenda.....................kweli wajinga ndio waliwao mimi huwa nakereka sana na vipindi vyake vya unajimu kwani huwa ni kubabaisha tu watu.........je huu ndio mwongo zo wa mashekh wa kiislamu kutabiria watu vifo na kushindwa kutabiri vitu vidogo vya muda mfupi na vyenye manufaa?..............hizi dini nazo!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Mkuu Jile79 habari ya siku kwanza? kwani kazi ya huyu bwana huijui?
poa kaka..................ah..watu wengine bwana wasumbua tu vichwa vya watu.............lakini kazi yake rasmi siijui nilikuwa nafikiri yeye ni shekh tu wa waislamu...........
 
nimepitia kaka ila nimesikitika kuona kuna wafuasi wake wamejaribu kumfagilia kuwa alitabiri kuwa mengi angeingia kwenye siasa na ikawa hivyo mwaka jana.....''bado naendelea kuamini kuwa wajinga ndio waliwao'' kwani mengi haingia kwenye siasa isipokuwa alikuwa akijaribu kukata mizizi ya fitna kutoka kwa wafitini wake waliokuwa wanasema sio mwanachama..........alichokifanya ni kuwaumbua na kuthibitisha kuwa yeye ni mwanacha tangu hata huyo sheikh feki wa waislamu hajawa mpotoshaji wa jamii....................''MSICHEKELEE VISIVYOCHEKELEKA''
 
mkulu ndo hivyo! sasa upate picha tunakoelekea watu wapo kikazi zaidi!
 
Back
Top Bottom