Sheikh Yahya Hussein na nyakati zake akifunguliwa milango na wafalme na Marais

Bandiko zuri sana.
Lakini kwa heshima zote kwako mzee wangu naomba niseme hisia zangu juu ya kutoweka kimaajabu kwa mwarabu wa Yemen huko jela ya Zanzibar.

Naamini hiyo tukio hilo ni hoax tu. Ingewezekana basi jela za Yemen zisingekuwa na wafungwa.
Unaongea tu.
Inawezekana jamaa alikuwa ni mchawi aliyekuhubu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom