Elections 2010 sheikh yahaya na shibuda

bulunga

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
303
49
nakumbuka sheikh yahaya alisema mgombea na rais angekufa, lakini akageuza usemi akasema shibuda angekwisha kisiasa sasa leo unaona imekuwaje, naona huyu mzee MAJINI yake yamezeeka PIA :A S-baby:
 
Sheikh Yahaya hana cha unajimu wala nini. Hajawahi kupatia utabiri wowote. Ni 'msanii'. Wanajimu wapo kama kina M. Ezekiel sio huyu
 
anatumiwa si unaona hakun mtu aliyejitokeza kumpinga mzee wa kudondokadondoka?
 
afe TU MAANA HANA TIJA KWA WATANZANIA SANASANA ANAIPELEKA NCHI KWA shetani
 
Msameheni jamani yeye ni binadamu pia hayo ni mapungufu yake
 
Sheikh Yahya au Yohana kwa Kiebrania - Hakuwa na majini in the first place.:nono:

uwezo wake wa kutabili ulikuwa ndani ya imani za watu wote waliomwamini katika kona nyingi za dunia.
Watu wengi waliomwamini kwa moyo wao wote na akili zao zote na mali zao zote sasa wanamtilia mashaka na imani imewatoka.
Kitendo hicho cha waumini kupungua ndicho kimnyimacho nguvu na uwezo wa kusema kile akiitacho utabiri.

Siku zote ukienda kwa mpiga ramli majibu ya ramli unayatoa wewe katika process za kupiga ramli.
Vivyo hivyo watabiri wote humanipurate maongezi na akili yako mpaka wakajua nini cha kusema.

Hakuwa na majini wala vinyamkera.

Wenye majini ya kutengenezwa maabara ni Wazungu huku first world wenye uwezo wa kugeuza Miamba ya Silicon kuwa nyenzo ya mawasilino dunia nzima. Transistor Technology ndo uchawi wa hali juu katika karne ya 20.

Kwa kutumia uchawi wao wameweza kuitawala dunia nzima kwa remote control, kuna anaye bisha hapa?
Watu tunalipa fedha nyingi online hata hatujui nani tunamlipa. Shilingi ngapi tunampa huyo Yohana kumradhi Yahya kwa nguvu ya hayo majini yake???

Sheikh hakuwahi kuwa na majini wala manchikavu.
 
watu kama sheikh yahya ni wa kuwanyima nafasi hata ya kuwasikiliza... kitendo cha kuwapa promo kinaharibu tu wananchi na maimani ya kishirikina
 
Huyu mzee pia aliahidi mwaka huu kutakuwa hakuna uchaguzi.....sasa mbona umefanyika? Ashindwe na maruhani yake.

nakumbuka sheikh yahaya alisema mgombea na rais angekufa, lakini akageuza usemi akasema shibuda angekwisha kisiasa sasa leo unaona imekuwaje, naona huyu mzee MAJINI yake yamezeeka PIA :A S-baby:
 
watu kama sheikh yahya ni wa kuwanyima nafasi hata ya kuwasikiliza... kitendo cha kuwapa promo kinaharibu tu wananchi na maimani ya kishirikina

Watu kama hawa wenye imani za majini ni kuwapuuzia
 
nakumbuka sheikh yahaya alisema mgombea na rais angekufa, lakini akageuza usemi akasema shibuda angekwisha kisiasa sasa leo unaona imekuwaje, naona huyu mzee MAJINI yake yamezeeka PIA :A S-baby:

Mkuu ina maana zamani ulikuwa unayaamini na yalikuwa ya kweli
 
Shekhe Yahya, ni mtaalamu wa kuchakachua maneno jamani kama ccm yenyewe ilivyo, ooh atakufa mtu, mara shibuda kafa kisiasa yako wapi ww shekhe ubwabwa?mchakachuaji mkubwa ww, kwendaaaaaaaaaaaaa
 
Huyo mzee si akazikwe mzima hivyo hivyo jamani alisema asipo kufa mtu anakufa yeye sasa mbona hafi jamani?
 
Ukitaka kupata utabiri bora, msikilize Sheikh Yahya halafu uamini kinyume chake.
 
Tusipoteze muda kujadili viwatu vichawivichawi kama hiki kiyaya.Yupo ni bodigadi asiyeonekana wa kipwete.Wote wanga tu.
 
Back
Top Bottom