TANZIA Sheikh wa Mkoa wa Singida, Salum Mahami afariki dunia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Msiba mkubwa wa kumpoteza Sheikh Salum Mahami akiongoza Mkoa wa Singida aliyetutoka leo Alhamisi Aprili 15, 2021

Tunatoa pole kwa wafiwa wote

Bwana ametoa & Bwana ametwaa & Jina lake lihimidiwe

Taarifa kwa mujibu wa Mufti Sheikh Aboubakar Zuberi

Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(6) Kilimteua Sheikh Salum Mahami kuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Singida.

Zaidi, soma: Uteuzi BAKWATA wa Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa

FB_IMG_16184769528955107.jpg
 
... "Verily we belong to God, and verily to Him do we return."; apumzike kwa amani. Serikali iwe makini isije kuwa 3rd Wave ndio imengia! At least tuna Rais msikivu sasa.
 
انا لله وانا اليه راجعون Poleni sana ndugu jamaa na marafiki
 
Back
Top Bottom