sheikh rashid athibitisha SOKOINE KACHUKULIWA MSUKULE

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
hakika jumapili kwenye kanisa la ufufuo na uzima ilikuwa siiku ya furaha na ajabu,...miujiza mingi ilitokea watu walifunguliwa
shtuko lililowashangaza watu ni pale yule sheikh rashid alieamua kumpokea yesu hivi karibuni na kuitwa matayo ametangaza rasmi walitumika kumchkua marehemu sokoine na hivi anavyoongea sokoine anaamini ipo siku atarudi ,...amesema katk kumchukua msukule walileetewa tarifa na kiongozi mmoja na kuhaidiwa baadhi ya mambo mazuri ....uku akisikitika amesema anahuzunika sana kwa walichokifanya ila ni amri ilioletwa ikwaambia wakuu wa tatu wa nchi kipindi hicho wanaitaji kijana asiwepo tena....machozi yalianza kuwatoka watu huku wakisikitaka......
Hakkika mungu alieniokoa ipo siku atamrudisha sokoine
nawaakikishia hata sheikh yahya aatakuwa wa kwanza kuja hapa kumkiri yesu watanzania mungu ameamua kubadili ulimwengu

sifa kwa yesu
 
Japo mimi ni Mkristu, na naamini katika Yesu kuwa ni kweli ndio yeye ndio Njia, Kweli na Uzima, ila kuna baadhi ya walokole wako kwenye wokovu kwa insanity, they are sane!, huyu sheikh ni mmoja wao!.

Tatizi la insanity kwa jina la Yesu, jamaa pia ana hypnotic powers, hivyo kuanzia wachungaji hadi waumini, wanajikuta wako hypnotised na kuamini kila ushuhuda hata toka kwa mtu mwenye insanity, hivyo anaongea mambo ya mind sugestibility na waumini kwenye hali ya trench, wanaishia kuamini ushuhuda kama huo.

Bwana Asifiwe!.
 
....nafikiri swala zima la misukule is merely stupid...!hawa wahubiri sikui ndo inakuwaje na kinachosikitisha zaidi ni kuwa tunawaamini na mara zote wanakuwa na wafuasi wengi tu.kweli wajinga ndo waliwao.......
 
Kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili/ kuhabarishana...katika karne ya 21 wana JF kweli tuwe na thread ya kujadili MISUKULE.....Ujinga kiasi gani huuu!
 
....nafikiri swala zima la misukule is merely stupid...!hawa wahubiri sikui ndo inakuwaje na kinachosikitisha zaidi ni kuwa tunawaamini na mara zote wanakuwa na wafuasi wengi tu.kweli wajinga ndo waliwao.......

It is their bargaining chip ya kupata sadaka nyingi....wajiulize huyo rashid kwa nini asimrudishe sokoine? Na kama amejifanya katubu dhambi hiyo hajasamehewa anatakiwa aseme yote yaliyotokea wakati wa sokoine maana ni yeye mwenyewe kalianzisha, na aseme huo msukule uko wapi na amrudishe.

HUU UPUUZI WAO UNAKERA SANA!!!!!!
IPO SIKU WATASEMA HATA NYERERE, KARUME, KAWAWA WALICHUKULIWA MSUKULE
 
Inasikitisha sana kama imefikia hatua ya waumini kuamini kitu ambacho hata mtoto mdogo hawezi kuamini.
 
Ha ha kama watu waliamini siku ya mwisho imefika na wakakubali wajichome moto na kibwetere, mi sishangai hawa wanaoamini story za misukule, tatizo kubwa la watu nikupenda kuamini haraka bila hata kuhoji hasa linapokuja swala ra kiroho na mitume au wachungaji wao, huwa hawaulizi hata kuhoji mioyoni mwao wenyewe wanasema ni dhambi, ukimhoji mtumishi unaambiwa unapingana na roho wa mungu yaaani huwa naona huruma na wenyewe huwa wananionea huruma duh
 
Ujinga kama huu sishangai kuzungunziwa kanisani, huko watu wanaamini vitu kama hivi na ndio maana huu so called sheikh kaamia huko kanisani kwa sababu wajinga ndio waliwao

Misikintini vitu na watu kama hawa hawana-place, sasa mambo yenu na ujinga kama huu usruhusiwe jf, hii ni sehemu ya ma think tank, mambo ya sheikh rashidi pelekeni hukohuko kwenye club za mashoga kwa wafuasi mbumbumbu, wavivu wa kufikiri wanaoamini kila kitu wanapofumba macho! Oh noooooooooooooooo!
 
Haya ni matunda mengine ya uhuru unapotumika vibaya... binafsi ningesema huyu jamaa achukuliwe hatua za kutaka kuvuruga amani kwani anagombanisha familia ya marehemu, jamhuri na viongozi wengine, let alone sisi watanzania tuliompenda sokoine!!!

Nadhani uchawi kwetu ni kosa (kwa sheria za tanzania), if so then serikali isikalie kimya haya mambo kwani tunapanda mbegu hatarishi sana na ku-justify yale ya kuua albino, kuchuna ngozi nk. kwa namna moja au nyingine

Ombi langu ni kwamba sisi wanaJF tu-ignore upupu huo na kuomba sheria zisimamie baadhi ya kauli

Jana pia Clouds FM kwenye njia panda walikuwa wanamhoji mtu aliyekua akizungumzia mambo ya ushirikina, tiba asilia nk. nadhani tuwe tunaandaa hizi topics vizuri ili kuzuia promotion ya imani za giza katika maisha yetu
 
Jamani hizo ni mbinu za kutufanya watanzania tusijadili mambo muhimu ya taifa na kufuatilia mambo ,kwahiyo wanazusha vitu vya kutufanya buzy, kama sokoine kachukuliwa msukule,vyama vipya vya siasa, kukatwa kwa umeme, ili wananchi wasifuatilie BUNGE LINAVYOENDELEA , na kuhoji miswada dhahifu ya serikali , na uwajibikaji wa mawaziri kama masha na sophia simba,

JAMANI TENDENI HAKI KWA JAMII
 
Ujinga kama huu sishangai kuzungunziwa kanisani, huko watu wanaamini vitu kama hivi na ndio maana huu so called sheikh kaamia huko kanisani kwa sababu wajinga ndio waliwao

Misikintini vitu na watu kama hawa hawana-place, sasa mambo yenu na ujinga kama huu usruhusiwe jf, hii ni sehemu ya ma think tank, mambo ya sheikh rashidi pelekeni hukohuko kwenye club za mashoga kwa wafuasi mbumbumbu, wavivu wa kufikiri wanaoamini kila kitu wanapofumba macho! Oh noooooooooooooooo!

.wajinga ndio waliwao
 
.wajinga ndio waliwao


Sasa jamani let say sisi sio wajinga haya!!
Naomba uweke uwelevu wetu japo mmoja tu kisha ntakubali sisi sio wajinga..... msikalie ubishi tu wakati ukweli unaonyesha na dalili zote za ujinga zipo look at uuuu!!

Sasa kama mtu kadhibitisha kuwa fulani kachukuliwa miskule alafu mtu mwenye upeo mdogo bila hata kuchunguza,kudadisi anakomaa tu! ka! anan`gonda(halija) pasi na sababu yeye abisha tuuuu! ilimradi kupinga tuu basi kwavile ajapendezwa na mada basi yeye apinge tuu,

naomba tukuwe jamani mnapotosha maana ya ma great thinkers maana nimeona mnabisha bila kufikilia wala kuhoji na kama ningekuwa mimi mleta maada nisinge waambia hata chanzo mnapenda tu msikie habari nzuri nzuri tuuu!!.

Ati!! wengine hawashangai kuona mambo hayo yakiongewa makanisani
ndio hutakiwi ushangae!!!!! Naamini kabisa wewe Bull hauna helim kuhusu deen kama huyo Sheikh aliegundua kweli maana ni mwenye kutambua hakutaka kufuata mkumbo kaamua kuchunguza na kisha kufuata kweli.

Changamoto ipo ila siwalaumu nyinyi!!!
 
Back
Top Bottom