Sheikh Ponda na wafuasi wake 49 wafikishwa mahakamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Ponda na wafuasi wake 49 wafikishwa mahakamani.

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 20, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280  Kiongozi wa jumuiya na taasisi za kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda na wafuasi wake wapatao 49 waliokamatwa na jeshi la polisi jijini Dar es Salaam kutokana na tuhuma mbalimbali wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo wote kwa pamoja wamesomewa mashtaka manne huku shekhe Ponda akisomewa mashtaka matano likiwemo la uchochezi wenye kuhamasisha utendaji wa makosa yanayoweza kuhatarisha usalama.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Mbona hii habari imeshapitwa na wakati?
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Kwako wewe imepitwa na wakati kwa wengine bado inawaumiza vichwa unasemaje Jabulani ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...