Sheikh Ponda katika ujanja wa Nyerere na muungano wa Zanzibar na Tanganyika

ukweli kabisa,wew huujui wala huna uhakika juu ya historia ya muungano,
ukweli unaouona wew kw mwenzko ni uongo,na ukwel kwa yeye bac kwako wew ni uongo
wa2 wote wanasimamia nadharia kuelezea hstoria ya muungan,ukwel wanaujua wenyew wachochez wa kuni za fitna nyerer na karume,
km na wew unaweza na wew tumia ukafiri (ukristo) wko kuelzea muungano,dini yko haijakuzuia kuhubr siasa,ucmzue shkhe kuhubr siasa,ilhal wachungaji na mapadri wakiongozwa na pengo wanahubir siasa tena kwa nguv zote,
kuwazuia waislam wasiuseme muungano uo ndo udini

abu,

..hapa Jamii Forums kuna Waislamu, Wakristo, Wahindu, watu wa imani mbalimbali.

..mimi nakushauri uheshimu imani za watu na auchane na kutumia neno kafiri kwa imani za wengine.

..binafsi napinga viongozi wa dini zote kujitumbukiza ktk malumbano ya kisiasa.

..siasa inataka give-and-take wakati dini haziruhusu mambo kama hayo.

..pia madhara ya mashekhe kujitumbukiza kwenye siasa ndiyo hayo unayoyathibitisha hapa ambapo waumini sasa mmeanza kufarakana na wale wa imani tofauti, na wengine kama wewe mnaita watu makafiri wakati siasa hazielekezi hivyo.
 
Shekhe ponda yupo pamoja na Ndugu zake wa kisilamu kama ilivyo kwa viongozi wa kikiristo tunaowaona katika harakati za kikanisa

Kumbesa,

..kwenye moja ya mikutano alitokea mama mmoja akadai kwamba muungano umepeleka popobawa Zanzibar!!

..Mashekhe walikuwepo na hakuna aliyemsaidia mama wa watu ktk kumfahamisha na kumrekebisha.

..mimi nakubaliana na madai ya Zanzibar kuwa na uhuru zaidi ktk kujitawala, lakini sikubaliana na mtu yeyote atakayetumbukiza hoja za uongo na uchochezi ktk kuhakikisha Zanzibar inafanikiwa ktk madai yake.

..kuna wakati Mashekhe wa uamsho wanapotosha kuhusu muungano. sijui kama wanafanya makusudi au ndiyo uwezo wao ulipokomea.

..Shekhe Ponda anakosea pale anaposimama pamoja na Mashekhe wapotoshaji na wanaochochea chuki.
 
kiislam, dini haitenganishwi na siasa....swadakta! dini inaongoza siasa, na wanasiasa...! lkn tatizo na mtafaruku, ni siasa inapotaka kuongoza dini, kama tunavyoona sasa kwa kiasi kikubwa... allah (swt), ameunganisha ushindi wa jambo lolote, na umoja....! na si vinginevyo...!... mihadhara ya kuhubiri mambo ya kuuvunja au kuudhoofisha muungano wa watu masikini na wanyonge wa eneo hili la ulimwengu....jamhuri ya muungano wa tanzania...si uislam kwa namna yeyote ile. kuvunja au kudhoofisha umoja wa watu...? astaghafirullah! kufanya hivyo ama ni u pungufu mkubwa wa elmu ya kina ya uislam au ni unafiki na ukafir wa dhahiri..(kibri)...insha allah mungu atatunusuru na hila mbaya za mafidhuli wenye kutaka kuutumia uislam kuvunja umoja wetu...na insha allah atawapa linalowastahili...!
 
Shekhe ponda yupo pamoja na Ndugu zake wa kisilamu kama ilivyo kwa viongozi wa kikiristo tunaowaona katika harakati za kikanisa

kwani kafir maana yake nin?
naona unajizonga,kuitwa kafir ndo kukashifiwa ndugu?naona imekua nongwa,
labda nikupe elimu ya bure ili upunguze nongwa na presure,
kafir:m2 yoyote aliyekanusha/aliyepinga au kuukataa uislam,
kwa iyo m2 aliyeitwa kafir,hajakashifiwa bali ametenganishwa na kundi la waislam,
na kwenye makafir kuna weng 2,wakiristo,hindi,wanafiq,yahudi n,k
kw iyo c kukashifiwa,2ache kusambaza fitna...
 
na nyie ni makafiri kwa imani zenu za kubuni za kiarabu,,huu ni kwa mujibu wa imani yangu ya mahoka. ngoma droo.
 
Huyo mungu wako unayemuabudu wote mtaingia motoni

nakuunganisha nchi 2 hizi c uislam,kwani kumekosekana mising sahih ya uislam ktk kuunganisha huu muunganano,
kwa iyo wache mashekh wavunje udugu uco natija duniani wala kwa m,mungu,
m/mungu hautambui udugu huu,anatambua udugu wa dam na wa dini moja
 
kwani kafir maana yake nin?
naona unajizonga,kuitwa kafir ndo kukashifiwa ndugu?naona imekua nongwa,
labda nikupe elimu ya bure ili upunguze nongwa na presure,
kafir:m2 yoyote aliyekanusha/aliyepinga au kuukataa uislam,
kwa iyo m2 aliyeitwa kafir,hajakashifiwa bali ametenganishwa na kundi la waislam,
na kwenye makafir kuna weng 2,wakiristo,hindi,wanafiq,yahudi n,k
kw iyo c kukashifiwa,2ache kusambaza fitna...

tena,mambo c ayo,km imani yko nd ipo ivo sawa,tena wac wac wa nin
 
kwani kafir maana yake nin?
naona unajizonga,kuitwa kafir ndo kukashifiwa ndugu?naona imekua nongwa,
labda nikupe elimu ya bure ili upunguze nongwa na presure,
kafir:m2 yoyote aliyekanusha/aliyepinga au kuukataa uislam,
kwa iyo m2 aliyeitwa kafir,hajakashifiwa bali ametenganishwa na kundi la waislam,
na kwenye makafir kuna weng 2,wakiristo,hindi,wanafiq,yahudi n,k
kw iyo c kukashifiwa,2ache kusambaza fitna...

Nashukuru na mungu wako kwa kukukataza kupata elimu dunia mngesumbua sana poleni
 
Shekhe ponda yupo pamoja na Ndugu zake wa kisilamu kama ilivyo kwa viongozi wa kikiristo tunaowaona katika harakati za kikanisa

siku nyingine usirudie tena kumfananisha shehe ponda na Viongozi wa Kanisa...uyo ponda kamlinganishe na haohao wavaa bagalashia wenzake na misuli.
 
wazanzbar kudai haki zao sio udini,bali kuwakandamiza wazanzbr kw uislam wao ndio udini wenyewe,
mtake msitake ukafiri,chuki,uadui na choyo dhidi ya uislam wa wazanzibar ndio uliozaa huu uhuni muungano na utanzania,
kwa iyo muwaite wazanzibr wabaguz wa dini,izo ni kasumba 2,ambazo hazina nafasi kwa dunia ya leo iliyojaa ukweli na uwazi,

sasa nyie majamaa mnachodai ni muungano au uislamu??
Ndio maana hatutakaa kuwachia mjitawale kamwe.
 
Kilichonifanya nicheke na kuona kweli maamuma ni maamuma tu ni pale Sheikh Ponda anapotaja jina la Nyerere na mtu yeyote yule kama papa, askofu wao wanaitika 'La'anatul Llah'- Means amelaaniwa na mwenyezi mungu.

Huku ni kuendeleza chuki, katika dini ya kiislam ni Shaitwani/Shetani pekee ambaye mpaka sasa proved kuwa amelaaniwa na mwenyezi mungu. Mtume Muhamad (S.A.W) aliweka wazi kuwa tusiwahukumu wale wanaotofautiana imani nasi, kwani haya katika aya za kuran tunaambiwa kuwa 'Lakum diinu kum waliya deen' - Means 'Ninyi mna dini yenu na wao wana dini yao'
.
 
Last edited by a moderator:
Songoro,

..mimi naziheshimu sana dini.

..sasa nasikitishwa sana pale kiongozi wa dini anapopanda jukwaani na kutoa matamshi ambayo hajayafanyia utafiti, au ameyafanyia utafiti halafu ameamua kuupotosha umma.

..alichofanya Shekhe Ponda siyo kuwatetea wa-Zanzibari bali kupotosha historia nzima ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Joka kuu,
Suala la ulilolisema ni la msingi sana kuhusu hawa viongozi wetu wa dini kuongea vitu vya uhakika kwa kufanya utafiti maana hao wanapotoa upotoshaji wa aina yoyote waumini hubeba upotoshaji ndani ya vichwa vyao. Bila ya shaka waumini wengi wamepotoka kwa kusikiliza na kuamini kila kitu asemacho kiongozi wake wa kiimani bila ya kuchambua kiongozi wake katumia utashi wake binafsi au mwongozo wa kidini. Chuki dhidi ya dini nyingine ndo vimekuwa mijadala ya msingi kutoka kwa viongozi wetu wa imani na wengi wao huchaguliwa kutokana na uwezo wao wa kukashifu dini nyingine na sio elimu, utashi, nidhamu, kipaji cha kuongoza wala hekima zake.

Mtu kama Ponda ambaye kila siku anapanda majukwaani kukashifu ukristo sitegemei kwamba anaweza kujenga hoja za maana kwaajili ya maendeleo ya nchi na inashangaza hata wasomi na waelewa wa mambo pale wanapomezwa na kuzama katika hoja mfu za Ponda katika kueneza chuki za kidini kwa kisingizio cha kutetea uislamu hata pale pasipofaa kufanya hivyo.

Arudi kwanza shule apate elimu halafu ndipo aanze kuongelea hoja za msingi za kitaifa la sivyo akafundishe tu madrasat akaeneze chuki zake dhidi ya ukristo maana huko ni rahisi sana kupandikiza hiyo mbegu yake ya chuki na kukubalika kirahisi.
 
Boko haramu(waislam) mna matatizo sana lol!!. Yaani mnashindwa kuuongelea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bila ya kuingiza chuki zenu za kidini.
Mnapiga kelele nyingi halafu ni wagumu kukubaliana na ukweli halisi wa imani yenu kwaajili tayari mshadanganywa na akina Ponda watu ambao wazito wa kujifunza na kujitafutia ukweli. Isitoshe dini yenyewe ilianzishwa kiujanja ujanja tu na watu wa Intelijensia kutoka Vatican kwa interest fulani fulani ndo maana vifungu kibao imekopa kutoka katika agano jipya na wakati huo huo waumini wake wanaukataa ukristo.

Jaribuni kuingia Google na uandike 'How Vatican Created Islam' ili mpate picha kidogo kuhusiana na mwanzo wa dini ya Boko haramu
 
Acha uongo. wakiristo wanawakandamiza waislam. huoni tanganyika? ndio maana wao wanataka wawe huru
 
Back
Top Bottom