Sheikh Ponda katika ujanja wa Nyerere na muungano wa Zanzibar na Tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Ponda katika ujanja wa Nyerere na muungano wa Zanzibar na Tanganyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, May 19, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  ..naona Shekhe Ponda anajichanganya kwa kuzungumza kana kwamba ni Mzanzibari wakati yeye ni Mtanganyika.

  ..mimi nadhani ma-Shekhe wangezungumzia masuala ya utaifa, kijamii, na kiuchumi, badala ya kugeuza hoja ya muungano kuwa suala la Waislamu vs Wakristo.
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Vyombo ya habari ndio vinavyogeuza hili suala kulipa taswira hiyo ya ukristovsUislam kwa malengo binafsi.
   
 4. a

  abu alfauzaan Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli kabisa,kiini cha muungano huu haramu na wa kinyama ni udini(crusade),vita ya msalaba dhidi ya uislam,kwa iyo wacha waislam wazungumzie,
  lait kama wazanzibar %90 wangekua makafir km nyerere,tanganyika na zanzibar icngeunganishwa,ingetosho kuwepo kwa umoja wa afrika na EAC,
  uwo ndo ukweli!,km hamujui ndo mujue,tena mkaambizane kwenye makanisa yenu,
  wacha waislam wakitanganyika wauseme ukwel huu waungane na ndugu zao wakizanzibar,
  nawasilisha
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  Tume ya Katiba,

  ..hapa kwa kweli huwezi kusingizia vyombo vya habari.

  ..tena naweza kusema vyombo vya habari vingi ni kama vimegomea mihadhara ya UAMSHO.

  ..tatizo nadhani ni hoja hii kutekwa nyara na viongozi wa dini, na ukweli kwamba mtizamo wao na uchambuzi wao utakuwa umelemea kwenye udini tu.

  ..hata Shekhe Ponda ukimsikiliza, alianza vizuri tu, lakini ghafla akatumbukia kwenye hoja za udini.

  ..Muungano uvunjike lakini kwasababu za msingi na siyo upotoshaji na uchonganisha baina ya dini za Kiislamu na Kikristo.
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  abu alfauzaan,

  ..kwanza Nyerere siyo kafir ni Mkristo.

  ..hoja kwamba nchi za magharibi zilimtumia Mwalimu kuzuia Zanzibar isigeuke "Cuba ya Afrika" zina uzito zaidi kuliko hoja ya udini na crusade.

  ..halafu Waislamu wa Tanganyika wataungana vipi na Waislamu wa Zanzibar bila kuwahusisha ndugu zao Wakristo wa Tanganyika?

  ..waliosema haifai kuchanganya dini na siasa hawakukosea. siasa wakati mwingine zinamlazimisha mhusika kuweka ukweli pembeni na kutumia ujanja-ujanja na hadaa kama inavyothibitika kwa hawa Mashekhe wa UAMSHO.
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Shekhe Ponda, kilaza mwenye hoja zenye mtazamo usiofika zaidi ya pale macho yake yanapoona. Hana lolote la maana la kuchangia ustawi wa Tanzania zaidi ya kutaka kutugawa kwa udini wake uliopitiliza
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Tanzania imara ni tanzania yenye kuheshimu watu wa aina na dini zote. Mtu anayetaka kuonyesha dini yake ni bora kuliko ya mwingine hana nafasi katika nchi yetu. Yeyote anayetaka nafasi lazima ajue tunataka aonyeshe kwa vitendo, mema anayoifanyia nchi hii.
  Mambo ya kulalamika kutwa kuchwa yanamsaidia nani?
   
 9. a

  abu alfauzaan Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DINI:ni itikadi/imani/mfumo inaongoza maisha ya mwanadam,
  dini ya kiislam km ni mfumo wa maisha unaowaongoza waislam ulimwengu mzima haijabakisha ki2 ktk maisha ya mwanadam including SIASA ,as long as siasa ni part ya imo maisha ya mwanadam ya kila cku,kamwe SIASA na DINI havitaweza kutengana,
  uislam km ni mfumo wa maisha kwa waislam ndio nyenzo pekee itakayoweza kuwata2lia na kuwaamulia waislam mamb yao ya kisiasa,kiuchumi na kmaisha,
  DINI HAITENGANIKI NA SIASA
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwani Karume snr. hakuwa mwislam?
   
 11. a

  abu alfauzaan Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazanzbar kudai haki zao sio udini,bali kuwakandamiza wazanzbr kw uislam wao ndio udini wenyewe,
  mtake msitake ukafiri,chuki,uadui na choyo dhidi ya uislam wa wazanzibar ndio uliozaa huu uhuni muungano na utanzania,
  kwa iyo muwaite wazanzibr wabaguz wa dini,izo ni kasumba 2,ambazo hazina nafasi kwa dunia ya leo iliyojaa ukweli na uwazi,
   
 12. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  huo ndo mjadala wa katiba mpya jizoeshen kusikia msiyoyapenda wala kutegemea ndio afya ya katiba yenyewe,utanganyika wake sio kitanzi kinachomzuia kutetea haki ya znz kama anaona imekiukwa!
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mtu mzima na hasa kiongozi wa dini anayetaka kugawa watu hafai. Mungu ni upendo, na mara nyingi kwenye jamii zetu tunawategemea sana viongozi wa kidini kutuweka pamoja pale mifakarakano inapotokea. Sheikh yuko ni mungu yupi?

  Kama ni swala la muungano kwa nini aingize hisia za dini?
   
 14. J

  JokaKuu Platinum Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  Songoro,

  ..mimi naziheshimu sana dini.

  ..sasa nasikitishwa sana pale kiongozi wa dini anapopanda jukwaani na kutoa matamshi ambayo hajayafanyia utafiti, au ameyafanyia utafiti halafu ameamua kuupotosha umma.

  ..alichofanya Shekhe Ponda siyo kuwatetea wa-Zanzibari bali kupotosha historia nzima ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  abu,

  ..tatizo ni kwamba Shekhe amepwaya ktk hoja zake.

  ..kwangu mimi bora angepwaya mtu wa kawaida kuliko kiongozi wa dini.

  ..nawaheshimu viongozi wa dini na ndiyo maana napendekeza waepuka kujitumbukiza ktk tope la siasa.
   
 16. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  religion is opium of the society. Karl Marx
   
 17. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Bora vita ije ila muungano hautavunjwa kamwe!.
  Watapiga kelele lakini hakuna kitu kama hicho. Mnataka znz kuwe Afgastani? Haiwezekani, kwanza hawajaanza leo waacheni wapayuke..
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  give to Caesar what belongs to him
   
 19. a

  abu alfauzaan Member

  #19
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli kabisa,wew huujui wala huna uhakika juu ya historia ya muungano,
  ukweli unaouona wew kw mwenzko ni uongo,na ukwel kwa yeye bac kwako wew ni uongo
  wa2 wote wanasimamia nadharia kuelezea hstoria ya muungan,ukwel wanaujua wenyew wachochez wa kuni za fitna nyerer na karume,
  km na wew unaweza na wew tumia ukafiri (ukristo) wko kuelzea muungano,dini yko haijakuzuia kuhubr siasa,ucmzue shkhe kuhubr siasa,ilhal wachungaji na mapadri wakiongozwa na pengo wanahubir siasa tena kwa nguv zote,
  kuwazuia waislam wasiuseme muungano uo ndo udini
   
 20. Kumbesa

  Kumbesa Senior Member

  #20
  May 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shekhe ponda yupo pamoja na Ndugu zake wa kisilamu kama ilivyo kwa viongozi wa kikiristo tunaowaona katika harakati za kikanisa
   
Loading...