Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

Nilipokuwa mdogo sekondari skuli niliamini na kuaminishwa kuwa sheikh Ponda ni mtu mbaya.. asiyefaa katika jamii, muuaji, gaid n.k

Nashukuru nimekuwa mtu sasa naamini kinyume chake.
Naomba Mungu anisamehe kwa fikra zile utotoni.
Sababu aliwapinga watawala na kwakuwa walikuwa wanasikika peke yao ndio maana
sababu watawala wa Africa ukiwaambia ukweli wananuna
Refer MBOWE
 
Namkubali sana huyu sheihk ndio uislamu unataka watu wa namna hii wazungumza ukweli na si wanafiki Mnyaazi Mungu akubariki sana Sheikh Ponda...
 
sheikh asisahau pia wakati mwingine kuna dhulma ambazo tafsiri yake anayo mwenyezi Mungu pekee.....sidhani kama sheikh anaaminika anapozungumzia dhulma maana tayari anaupande kisiasa...

Viongozi wa dini wanapaswa kuwa neutral ili wanapokemea basi tuwaamini na tuamini kweli wanasimamia haki au wako upande wa haki..
 
Una maana neutral kama kina Askofu Pengo au Rashid au wale wa Bakwata?
 
Hilo nalo lipo wazi kabisa unahitaji mtu abebe begi kama kibatara kuthibitisha hilo? Nadhani kama hautachanganya kaunafiki unalielewa hilo
Mimi ponda ni mwl wangu wa dini,akinifundisha kwamba dola ya kiislam haiwezekani tz kwa kuwa Kuna mchanganyiko mkubwa wa wasio waislam,ndomana nauliza kipi kinachofanya muamini ana ajenda za daesh au Taliban?
 
Ni kweli..wana CCM chukueni ujumbe hapo

😁😁

IMG_20210829_163746_049.jpg
 
Utabiri wa hali ya hewa wa kawaida unaonyesha yatakuwepo manyunyu kuanzia mwishoni mwa juma na yanaweza kwenda siku mbili au tatu kwa maeneo ya Dar es Salaam na jirani.
Nasubiri kusikia viongozi wetu watakavyoitangaza hiyo kama 'matokeo ya sala zao'.

mvua.jpg
 
Nilipokuwa mdogo sekondari skuli niliamini na kuaminishwa kuwa sheikh Ponda ni mtu mbaya.. asiyefaa katika jamii, muuaji, gaid n.k

Nashukuru nimekuwa mtu sasa naamini kinyume chake.
Naomba Mungu anisamehe kwa fikra zile utotoni.
Huyu baba ana mabinti nafikiri watano then ana mtoto wa kiume mmoja nafikir,watoto wake wa kike wana akili na wamesoma mashallaha na ashawahi weka mkataba na moja ya waume wa mtoto wake kama anataka kumuoa baasi amsomeshe kwanza la sivyo aache amsomeshe mwenyewe...ana msimamo kiukweli namkubali sana..
Yaani hanaga chembe ya unafiki huyu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom