Sheikh Ponda, Chagua kimoja kati ya siasa na Dini

Mtimbo

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
1,392
796
Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
 
Alienda kuwaangalia waislamu wa uwamsho(kama sijakosea jina) huko zanzibar.
Vp nao ni wanasiasa?
Nahisi kuna paswa kuwekwa vigezo vipya vya kuwa member humu jf
Maana kuna post nyingine hazina hadhi ya hili jamvi
 
Moderators with all respect please! Hii mada inajitegemea acheni kuinganisha.

Hata mapadre na maaskofu wanaenda kuona "wafungwa"
 
Ana Uhuru wa kufanya atakalo kwani viongozi wa dini wasiokemea uvunjwaji wa haki wako upande gani siasa au dini?
Charity begins at home!
Kati ya Lema na wale mashekh wa Zanzibar wanaoshikiliwa na mahabusu hadi leo yupi alistahili kufarijiwa kwanza!?

Kwa mfano huo tu utaona Ponda ni mwanasiasa anaetumia dini
 
Dini ni shughuli ya kijamii na siasa vile vile ni shughuli ya kijamii.

Kila mtu anao uhuru wa kujihusisha na shughuli yoyote kwenye jamii maadam havunji sheria.

Unapompa mtu kauli ya kuchagua moja kati ya mawili ambayo yote ni haki yake, kwa vyovyote vile huwezi kuwa na akili timamu.
 
Moderators with all respect please! Hii mada inajitegemea acheni kuinganisha.

Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
Mleta mada una uhakika kuwa tume hiyo ya BAKWARA ilimfuata na akagoma kutoa ushirikiano? Una uhakika kuwa hajawahi kwenda mahabusu kuwafariji waislamu waliodhulumiwa haki zao? Je umesahau Mbunge wa Bukoba mjini Wilfred Lwakatare akiwa ni kiongozi wa masuala ya usalama CHADEMA either alimtembelea hospitali au gerezani (kumbukumbu sinayo vizuri)kipindi kile yupo kwenye misukosuko?

Mwisho kabisa kama unajua maana ya siasa na maana ya dini hebu nisaidie ni vipi kiongozi wa kidini anaweza kukaa mbali kabisa na siasa ilhali baadhi ya maamuzi ya kisiasa yana athari za moja kwa moja kwenye jamii yake?
 
Charity begins at home!
Kati ya Lema na wale mashekh wa Zanzibar wanaoshikiliwa na mahabusu hadi leo yupi alistahili kufarijiwa kwanza!?

Kwa mfano huo tu utaona Ponda ni mwanasiasa anaetumia dini
Una uhakika hajaenda kuwaona?mbn hamumwambiagi huyu sheikh wa mkoa dar?
 
Sheikh Ponda si tu ameonyesha kua yeye ni kiongozi wa dini,nali ameonyesha kua pia ni kiongozi wa jamii,naunga mkono kwa alilolifanya,kuhusu viwanja,amesha onyesha njia sio lazima kila kitu amalize yeye,masheikh wengine wanafanya nini? hata kama CHADEMA hawakuja kumjulia hali,yeye halipi baya kwa baya,utaweza kila nayekuhukum na ww umuhukum
 
Mleta mada una uhakika kuwa tume hiyo ya BAKWARA ilimfuata na akagoma kutoa ushirikiano? Una uhakika kuwa hajawahi kwenda mahabusu kuwafariji waislamu waliodhulumiwa haki zao? Je umesahau Mbunge wa Bukoba mjini Wilfred Lwakatare akiwa ni kiongozi wa masuala ya usalama CHADEMA either alimtembelea hospitali au gerezani (kumbukumbu sinayo vizuri)kipindi kile yupo kwenye misukosuko?

Mwisho kabisa kama unajua maana ya siasa na maana ya dini hebu nisaidie ni vipi kiongozi wa kidini anaweza kukaa mbali kabisa na siasa ilhali baadhi ya maamuzi ya kisiasa yana athari za moja kwa moja kwenye jamii yake?
Ebu kumbuka kwanza alafu nitakuja kukujibu
 
Sheikh Ponda ni mwanajamii, atafanya lolote ili mradi havunji sheria
Natambua kama yeye mwana jamii ila mimi nimempa angalizo la kuchagua kimoja
Kwani siku zote mpanda farasi wawili mwisho hupasuka msamba
 
Sheikh Ponda si tu ameonyesha kua yeye ni kiongozi wa dini,nali ameonyesha kua pia ni kiongozi wa jamii,naunga mkono kwa alilolifanya,kuhusu viwanja,amesha onyesha njia sio lazima kila kitu amalize yeye,masheikh wengine wanafanya nini? hata kama CHADEMA hawakuja kumjulia hali,yeye halipi baya kwa baya,utaweza kila nayekuhukum na ww umuhukum
Mshika mawili moja humpokonyoka
 
Moderators with all respect please! Hii mada inajitegemea acheni kuinganisha.

Habari wanajamvi?
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day)

Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda.
Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako.

Madai yako mengi yaliokufanya kwa mda mrefu ushinde mahabusu gerezani yameanza kufanyiwa kazi.
Tayari BAKWATA imeunda tume ya kuzibainisha mali zote za waislamu ikijumuisha viwanja mbalimbali vilivyouzwa kinyemera, nilitegemea mda huu ungekuwa ukitoa ushirikiano wa kutosha kwa tume iliondwa ili madai yako yale ya mda mrefu yabainishwe na yatatuliwe.

Jana umeonekana Mahabusu ukienda kumjulia hali Mbunge wa Arusha Godbless Lema ni jambo jema na la kiungwana.
Hata hivyo wema huo ulioufanya sina hakika kama umefanya tathmini za athari zake huko mbeleni.

Naomba unikumbushe ulipopatwa na majanga yaliokufanya kukaa mahabusu kwa mda mrefu na hata pale ulipopata majeraha ya Risasi Kiongozi gani wa CHADEMA aliekuja kukujulia hali!?

Je Godbless Lema naye alikuja kukusabahi!?

Je unafikiri kwa nini walishindwa kujitokeza na kukufariji kwenye dhahama ile uliopitia?

Je walikosa nauli au walibanwa na majukumu yao ya kazi? au
Unafikiri hawakuguswa na uonevu uliokukuta?

Jibu ni kwamba walikuwa na uwezo wa kufanya lolote ili kukufariji wewe katika kipindi kile cha mpito isipokuwa hawakufanya kwa sababu ulichokuwa unakipigania kilikuwa tu kina maslashi ya dini na sio kisiasa lakini zaidi ya hapo walishafanya tathmini ya athari ya wao kama wanasiasa kujihusisha na kesi yako ambayo ilikua ya kidini zaidi kuliko kisiasa.

Je wewe umefanya tathimini ya maamuzi yako na kupima athari zake huko mbeleni?

Kama tayari umefanya tathimini na maamuzi ya kwenda kumtembelea Lema ni matokeo ya tathimini hiyo basi kuanzia leo popote ulipo tafuta kadi ya chama cha siasa ili ufanye siasa kwa uwazi zaidi na si kwa kificho kwa kutumia mgongo wa dini.

Kwani katika hali ya kawaida haiwezekani ukaguswa zaidi na Lema anaefanya tu siasa kiasi cha kufunga safari na kumtembelea mahabusu na kuacha kuwatembelea nakuwafariji
waislamu wenzako walio mahabusu wanaoteseka kama ulivyokuwa unateseka kwa kupigania maslahi ya waislamu.

Ni dhahiri kwa ulichokifanya kinakufanya kuwa mwanasiasa zaidi,na kwenye harakati za dini huwa unazitumia tu ili kutimiza harakati zako za kisiasa.

AAWW
Nonsense!
 
Umeshawahi kuwaambia hayo wachungaji waliopo kwenye siasa, hadi wabunge? Au wale wanasiasa wanaokwenda kuhubiri siasa makanisani?

Au kwa kuwa ni Sheikh na Muislam?
Mshika mawili moja humpokonyoka, mimi ninachowaomba mumtafutie kadi ya chama ili tumfahamu vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom