Sheikh Ponda aichimba mkwara serikali! Ataka 102 waliokamatwa waachiwe huru

....kaazi kweli kweli...lazima mdhamana wa jumla utolewe tu...rahaaaaa...
 
Kwani ili udai haki ya kudhihakiwa Mtume ni lazima uchome kanisa? Au ni matumizi ya nguvu nyingi na akili kidogo?
 
Naomba mnielekeze anapokaa huyu Ponda.
Hivi huyU Ponda ni nani hasa?,mwenye CV yake atudondoshee,nina interest pia ya kujua msimamo wake kisiasa,je ponda ni CCM au ni CUF au ni both?please mwenye kujua haya anieleweshe kwani niko naandika kitabu,heading ni THE RISE OF MUSLIM FUNDAMENTALISM AND RELIGIOUS FANATISM IN TANZANIA- 2005-2015
 
Katika majumuisho yake Ponda alisema uislamu ni sehemu ya Amani
akamuomba Kova Kuwaachia waliowashikilia bila kosa mana wengi wao na wamama wasiokuwa na hatia
 
Ponda ni kiongozi wa kundi dogo la kiisilam linalo haribu sifa nzuri ya mtume na uisilam kwa ujumla , naamini watu wanaomsikiliza na kumfuata wataleta mauaji ya kimbari na siku ya kiama hatokwepa moto kama quruani inavyosema juu ya wanafiki, huyu mtu anaibilisi si bure aogopwe na watu wanaotaraji pepo.
 
Hii nchi haina kiongozi mkuu wa nchi ndio maana wahuni wanaweza ipa maagizo serikali kwa matakwa yao binafsi.
Poor Baba Riz !
 
Mkamate sana ELIMU ukimkosa huyo na kumwacha aende zake utapata taabu/shida sana ktk maisha yako kwani utataka utumie nguvu hata mahali pasipo takiwa nguvu ndiyo ya Kihiyo PONDA na waandamizi wake
 
nchi hii inaendeshwa na IBILISI! Period, wote mnamjua, sina haja ya kumtaja.
 
Huyu bwana anadhani nchi hii kaiweka mfukoni mwake? Hakuna mtu wa kumshauri, au hashauriki? Kwa nini anahatarisha maisha ya watanzania wasio na hatia kwajili ya imani yake?
 
Hivi huyU Ponda ni nani hasa?,mwenye CV yake atudondoshee,nina interest pia ya kujua msimamo wake kisiasa,je ponda ni CCM au ni CUF au ni both?please mwenye kujua haya anieleweshe kwani niko naandika kitabu,heading ni THE RISE OF MUSLIM FUNDAMENTALISM AND RELIGIOUS FANATISM IN TANZANIA- 2005-2015

kama ulizaliwa miaka ya 2000 kuja juu itakuwia ngumu kumfahamu ponda.ila kama ulikuwepo kuanzia miaka ya tisini halafu haumjui ponda wewe si mfuatiliaji wa mambo na hufai kuwa mwandishi utapoteza mda wako.
 
Hii nchi haina kiongozi mkuu wa nchi ndio maana wahuni wanaweza ipa maagizo serikali kwa matakwa yao binafsi.
Poor Baba Riz !

pengo na kilaini wakiipa amri serikali kwa matamko yao unaona safiiii.
Namsikiliza nyerere anasema sisi waafrika watu wa ajabu sana.
 
Hivi huyu Ponda kaegemea wapi? Lakini wanajuana wadhaifu serikali makini na viongozi makini sio wakutishwa na waharifu akatishika wamechoma makanisa na kupora lkn hawajuti kwa uovu huo Cha kushangaza eti kova bila aibu anathubutu kumpeleka mahakani mtoto alyekojolea msahafu kabla ya kufata sheria kwa hawa walosababisha vurugu na uharibifu mkubwa makanisani
 
Ponda hajaenda shule na wanaomtii wote hawajaenda shule na hajui kusoma wala kuandika
 
Kwani ili udai haki ya kudhihakiwa Mtume ni lazima uchome kanisa? Au ni matumizi ya nguvu nyingi na akili kidogo?

Hao waliochoma kanisa ni wahuni na wezi.

Wanakiuka mafundisho ya uislam na wanaupaka matope uislam.

Uislam haufundishi uhuni na ujinga wa namna hiyo.
Uislam hauruhusu hata kidogo kudhulumu mtu yoyote, awe muislam au myahudi.

Mtume swalalahu alaih wasalam hakufundisha uharibifu wa namna hiyo.

Hao ni wahuni na hawaujui uislam na wala hawaufuati uislam.
 
pengo na kilaini wakiipa amri serikali kwa matamko yao unaona safiiii.
Namsikiliza nyerere anasema sisi waafrika watu wa ajabu sana.

Wala sijataja kuwa ni safi Pengo na kilaini wanapotoa matamko . Hata wao wanatoa matamko coz serekali ni lege lege haina meno . Ignorance ni ugonjwa mbaya sana.
 
Mbona nchi za kiislam hawaandamani mpaka leo kwenye hili tukio kulaani serikali ya Tanzania kama walivyo laani serikali ya Marekani kwenye ishu ya movie ya mtume?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom