Sheikh Ponda afikisha ujumbe wa watuhumiwa wa Ugaidi 187 kwa Rais Samia

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
37,008
2,000
Hapa kwenye kuhusisha kila kitu na siasa ndipo penye tatizo halisi!
Nchi hii inaendeshwa na siasa na sio utawala wa kijeshi. Hivyo matendo ya hovyo yeyote lazima yahusishwe directly na chama kinachosimamia serikali
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,563
2,000
Unapayukwa tu mkuu.

Yaani kwa kuwa una uhuru wa kuandika mavi yako basi unajiandikia. Ukiambiwa thibitisha hizi claims zako utashindwa, na ukishindwa ukifunguliwa mashtaka bado utasema unaonewa na nchi haina uhuru .

Au ndio unadhani unatumia fake ID??

haya bhana ndugu babati
dingi ako, fanya unachoweza mpuuzi wewe, watishe ndugu zako
 

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,800
2,000
Wewe ndiyo sehemu ya familia hiyo? akifungwa wewe utapungukiwa na nini? mpuuzi mkubwa wewe
Utoe uhai wa mtu afu ukifuatiliwa useme wafuatiliaji watafaidika na nini? Je ingekuwa ni mzazi wako au ndugu yako kafanyiwa vile ungerizika? Wengi wamefanya ushenzi na kujificha kwenye kichaka cha kuwatetea watu. Hii ni sawa na wale ma padri, masheikh na wachungaji wanaojifanya wachamungu mchana kumbe wezi, wachawi na wauaji usiku. So lazima sheria ichukue mkondo wake ili kusimamisha utawala wa sheria kwa wauaji na wavunja sheria wote.
 

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,654
2,000
Swali la kijinga kiwango cha SGR.
Mashekhe wa Uamsho walikamatwa 2014, Samia walimhusu nn mpk akawatoa
Masheikh wa uamsho walikuwa na "Limelight" kubwa kuliko hawa wa Tanganyika
Wale wa Zanzibar walisemewa, kupigiwa kelele na azaki za kiraia, vyama vya siasa etc bahati nzuri wakapata rais Mzanzibar mwenzao akawatoa

Jakaya Jakaya
Kazi yako ya kuweka ndani Masheikh bila haki leo hii matunda yake tunayaona. So sad!
 

Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,510
2,000
“Mhe. Rais Watuhumiwa wa Ugaidi tunanyimwa Haki. Ukonga, Segerea tupo 187. Tumewekwa jela toka 2013. Mhe. jela miaka 8 ni kuadhibiwa bila ya kuthibitika kosa. Wewe kama mkuu wa nchi tunaomba ushauri wako tufanye nini ili tutendewe Haki?” Ujumbe huu nimepewa leo Ukonga na Segerea.

View attachment 1986119
Tanzania kuna watu wanaishi kama Jehanam.

Kila aliyekuwa mwiba kwa ccm and thugs alipewa kesi ya ugaidi.
 

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,350
2,000
Ukimya na unafiki wa viongozi wa dini na wastaafu wenye hekima ndio tatizo kubwa kwa umoja na ustawi wa taifa letu.
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,563
2,000
Utoe uhai wa mtu afu ukifuatiliwa useme wafuatiliaji watafaidika na nini? Je ingekuwa ni mzazi wako au ndugu yako kafanyiwa vile ungerizika? Wengi wamefanya ushenzi na kujificha kwenye kichaka cha kuwatetea watu. Hii ni sawa na wale ma padri, masheikh na wachungaji wanaojifanya wachamungu mchana kumbe wezi, wachawi na wauaji usiku. So lazima sheria ichukue mkondo wake ili kusimamisha utawala wa sheria kwa wauaji na wavunja sheria wote.
Sawa Bashite
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom