Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,919
- 31,161
Nadhani ni chuki zako tu miaka 9 mbona imeshindikana kuona hayo
Miaka 9 ugaidi ulimalizika.
Nadhani ni chuki zako tu miaka 9 mbona imeshindikana kuona hayo
Ugaidi ilikuwa ni upepo uvumao duniani umepita kama itakavyopita corona.Miaka 9 ugaidi ulimalizika.
Hawatarudia lazima wamejifunzaSi wametoka? Ngoja tusikie tena makanisa yamechomwa moto au waumini au viongozi wa dini zingine wameuwawa uone. Safari hiyo, hawarudi!!!
Kumbe ni watu hatari na nusu?Mlitaka wapewe hukumu ya kifungo ili mpige kelele wanaharakati wamefungwa? Ili muandamane, sasa dawa yao ni kuwaweka mahabusu miaka 9 ili nchi itulie.
Sasa ole wao wabwabwaje tena kuhusu kufukuza watalii wanaovaa kinyume na imani zao kali, kuchoma makanisa na kutishia kuibuka kwa magaidi.
Wakae watulie nchi inahitaji amani kuliko vi ideology vyao uchwara vya mudi kichaa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui vile serikali ina deel na ugaid!Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Hawajaachiwa na mahakama.Huu ushahidi wako ulitakiwa uupeleke kabla ya mahakama kuwaachia.miaka 9 leo ndio unakuja kusema haya wakati wameshaachiliwa ulikua wapi chief?
Sasa kwanini hujapeleka ushahidi kwa DPP ili aifremu kesi vizuri wafungwe?Hawajaachiwa na mahakama.
Wameachiwa na DPP.
🤔Sijakuelewa Vizuri.Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Unaushahid wa unachozungumza watanganyika WAPUMBAVU sanaMsiende tena mkaanze kuhamasisha kuchoma makinisa na kuwapiga mapadri risasi
Watakuwa wamepata somo gumu wakiwa na umri mkubwa.Msiende tena mkaanze kuhamasisha kuchoma makinisa na kuwapiga mapadri risasi
hiyo kitu ikijirudoa tena. this time watapoteza maisha si uhuru tenaSi wametoka? Ngoja tusikie tena makanisa yamechomwa moto au waumini au viongozi wa dini zingine wameuwawa uone. Safari hiyo, hawarudi!!!
Tungekuwa pabaya sana hawa wangeachiwa wasambaze roho za chuki, kwani kulikuwa na vuguvugu la Rufiji na Mkuranga.Anaejua nini zaidi? Mimi nisingetoa statement ya kizembe namna ile.
Tunapigania kupunguza manguvu dhalimu ya serikali kwenye vi nchi vyetu vichanga vya kidikteta hivi, tumewasapoti miaka 9, tukiamini kuwa wameonewa kwa kosa la kutoa maoni ya kisiasa, whether hatuyakubali au tunakubaliana na kuvunja Muungano. Hawakutakiwa kufungwa miaka tisa.
Anatoka anasema oooh yamekwisha, furaha itoshe tumetoka, tusishindane na mwenye nguvu. Tushukuru tumetoka.
Wanaharakati wetu wa dunia ya tatu maskini ya Mungu, very uchwara. I hope Sheikh Farid does not subscribe to this man’s crap.
Sio kila kitu kina ushibitisho wa moja kwa moja, kuna uthibitisho wa kimazingira ama wanaita circumstancial evidences.Ebaeban,
Sheikh Mselem au Muislam yeyote yule hawezi kufanya hayo.
Wamekuwa gerezani kwa miaka 9 shutuma za ugaidi zimeshindwa kuthibitishwa.
Leo Kanisa limegubikwa na tatizo la ushoga.🤔Sijakuelewa Vizuri.