Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,405
- 1,086
We mwenyewe komenti zako zinachagizwa kwa nguvu ya imani na chuki dhidi ya Waislam.Sasa unaniambia mimi, kwani mi CCM au serikali. Mi sipo huko. Nipo kwenye facts. Ukitaka ukitafakari na kukichuja kitu,epuka kuweka emotions na imani