Sheikh Mselem bin Ali alitunukiwa nishani na Waislam akiwa jela mwaka 2014

We mwenyewe komenti zako zinachagizwa kwa nguvu ya imani na chuki dhidi ya Waislam.
Kila kitu ukiwa unakiangalia kwa mawazo ya udini, unapoteza muda. Mi sishabikii dini ya mwarabu wala ya mzungu. Hiyo kazi nakuachia wewe huo udwanzi
 
Jinsi povu linavyokutoka ni dhahiri kuwa unaongozwa na nguvu kubwa ya chuki na uadui dhidi ya Waislam.
 
Biashara ya dini za waarabu au wazungu zinawafaa wenye akili za kitumwa. Mi sipo huko. Tafuta mtu mwingine mwenye mawazo ya kitumwa mkabishane mambo ya dini za wakoloni wenu
 
Nimesoma vizuri sana. Huo uunguja na upemba uliousema aliuanzisha Nyerere baada ya kuvamia visiwa 1964 na kuleta maneno hayo. Wazanzibari wameishi pamoja kwa makarne na hatujasikia katika historia kuwepo hayo maneno.

Tofaut zipo tangu zama na zama na ndio sababu ya Karume kukubali muungano ili iwe kama ngao ya kiulinzi kwa Zanzibar dhidi wazanzibar wenye asili ya asia zikiungwa mkono na wapemba ambao wanajihis kuwa waarab zaid kuliko wabantu , Na Nyerere hausiki kweny kuasis hizo sintofahamu ila huenda anaeza kuwa sehemu ya kushindwa kuzidhibiti na kuruhusu zikue ( haya ni makosa ya kawaida kiutawala )
 
Maneno ya hatari sana yalisemwa na huyu sheikh na yangeachwa yakazoeleka basi kule kuyaishi kungeumiza baadhi ya watanzania.

Viongozi wa taifa wakati ule walifanya maamuzi ya kishujaa kuzima muelekeo mbaya uliokuwa unatukabili.
Sheikh wangu akikujibu nitafute.

Tofaut zipo tangu zama na zama na ndio sababu ya Karume kukubali muungano ili iwe kama ngao ya kiulinzi kwa Zanzibar dhidi wazanzibar wenye asili ya asia zikiungwa mkono na wapemba ambao wanajihis kuwa waarab zaid kuliko wabantu , Na Nyerere hausiki kweny kuasis hizo sintofahamu ila huenda anaeza kuwa sehemu ya kushindwa kuzidhibiti na kuruhusu zikue ( haya ni makosa ya kawaida kiutawala )
4by...
Kuna kitabu ameandika Dr. Harith Ghassany, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru,'' soma kitabu hiki kuna mengi kuhusu historia ya Zanzibar na wahusika wakuu wa mapinduzi.

Katika kitabu hiki utasoma mchango wa Tanganyika katika kupindua serikali ya Sheikh Mohamed Shamte.
 
Mzee Mohamed umesahau kutueleza yafuatayo:

(1) Aliyepewa nishani alikamatwa ( kuwa kifungoni) kwa tuhuma au makosa yapi hasa?

(2) Aliyetunuku nishani nayeye amekamatwa kwa tuhuma zipi hasa?

(3) Unawezaje mpatia nishani tena kwa kigezo cha mchango wa kueneza Quaran mtu aliyehukumiwa kwenda jela? Unapimaje uadilifu wa huyu mtu na kuamua kumpa tuzo?

Naomba ufafanuzi
3. Ni mahakama gani ilimuhukumu kwenda jela ? Ilimkuta na hatia ya kutenda kosa gani ??
 
Tofaut zipo tangu zama na zama na ndio sababu ya Karume kukubali muungano ili iwe kama ngao ya kiulinzi kwa Zanzibar dhidi wazanzibar wenye asili ya asia zikiungwa mkono na wapemba ambao wanajihis kuwa waarab zaid kuliko wabantu , Na Nyerere hausiki kweny kuasis hizo sintofahamu ila huenda anaeza kuwa sehemu ya kushindwa kuzidhibiti na kuruhusu zikue ( haya ni makosa ya kawaida kiutawala )
Ndivyo alivyokuambia Nyerere?

Sijui wewe ni kijana mwenye umri wa miaka mingapi.Kwa sisi tuliozaliwa kabla ya uvamizi wa 1964 tunaelewa hali ilikuwaje siku hizo Na hivi Sasa. Huyo Laanatullahi Nyerere alikuwa Na dhamira zake tokea miaka ya 50s.
Soma makala haya kutoka gazeti la Tz ya 1993

AN-NUUR Jamaduthan 1414 A.H, Desemba 1993

MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
 
Kumbe wewe Mtu mzima kabisa.
Sasa kwa nini matusi kwenye mijadala
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom